• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERUKAMBA AKABIDHI MIPIRA 1000, ATOA MAAGIZO MAAFISA MICHEZO

Posted on: March 5th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Singida,Peter Serukamba amekabidhi mipira 1000, kwa Halmashauri saba za Mkoa wa Singida na kutoa maagizo kwa Maafisa Michezo wa Halmashauri zote kuhakikisha viwanja vya michezo vilivyobadilishwa matumizi kurejeshwa kwa ajili ya michezo.


Serukamba ametoa agizo hilo, wakati akikabidhi mipira hiyo kwa Maafisa Elimu wa Halmashauri saba za Mkoa wa Singida, leo Machi 5, 2024 katika Shule ya Msingi Ukombozi, Manispaa ya Singida.

Kiongozi huyo ametoa maagizo kwa Maafisa Michezo wa Halmashauri zote akisema viwanja vyote vya michezo vilivyobadilishwa matumizi virejeshwe mara moja nakutoa mwezi mmoja wa utekelezaji wa agizo hilo.

“Viwanja vya michezo visibadilishwe matumizi bila ya kuwa na eneo mbadala hapa na waagiza Maafisa Michezo wote wa Halmashauri kila eneo ambalo lilikuwa na uwanja wa michezo ukabadilishwa matumizi basi maeneo hayo yarudishwe na nipewe ripoti ndani ya mwezi mmoja “ amesema Serukamba

Aidha amezitaka shule zote kuwa na miundombinu ya michezo na kuzingatia vipindi vya michezo shuleni kwani itasaidia kunyanyua viwango vya taaluma kwa watoto hao.


Mipira hiyo 1000, imetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia program ya “Football for Schools” ikiwa ni jitihada za kuunga mkono Serikali ya Awamu Sita ya Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kuendeleza michezo shuleni .

Serukamba amewata maafisa elimu hao kuhakikisha kuwa mipira hiyo inawafikia wahusika shuleni na iwe chachu katika kukuza vipaji na kunyanyua taaluma kwa wanafunzi.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Singida(SIREFA), Hamisi Kitila, ametoa shukrani kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kwa kuwapatia mipira ambayo lengo lake ni kukuhakikisha mchezo wa soka unakuwa kuanzia ngazi ya awali.


Aidha Kitila ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kuunga mkono michezo na kuweka mazingira mazuri ya kukua kwa soka nchini.

Programu hiyo ya “Football for Schools” imefika katika mikoa 12 ya Tanzania Bara na mikoa miwili kutoka Zanzibar lengo likiwa ni kukuza soka kuanzia ngazi ya chini.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.