• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SINGIDA MATUMAINI KIBAO UMITASHUMTA TABORA

Posted on: June 9th, 2024



Baada ya kuanza vibaya katika michuano ya UMITASHUMTA 2024 katika michezo tofauti timu za Mkoa wa Singida leo Juni 9, 2024 zimeanza kwa kishindo katika michezo ya soka, Netball(Mpira wa Pete) na Handball (Mpira wa Mikoni) kwa wasichana na wavulana.


Katika michezo ambayo imepigwa leo Jumapili asubuhi na jioni katika michuano hiyo ya UMITASHUMTA, Mkoa wa Singida uliibuka kidedea katika mchezo wa Netball kwa ushindi wao 23-7 baada ya kuupoteza Mkoa wa Manyara.


Mchezo wa Handball wanaume kwa Singida waliibuka na ushindi wa seti 19-11 dhidi ya Manyara, lakini mchezo huohuo kwa upande wa wasichana Singida waliibuka na ushindi wa seti 3-1 kwa kuichapa Tabora.


Soka maalum katika michuano hiyo, Singida wametoka sare ya 3-3 dhidi ya Kigoma. Upande wa mchezo wa Kikapu wasichana Singida imeshinda vikapu 28-14dhidi ya Ruvuma. Lakini kwa upande wa wavulana mchezo wa Singida imepoteza kwa vikapu 20-2 dhidi ya Mwanza.


Timu ya Singida wanaume wameibuka mashujaa kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Unguja.Mchezo wa Goalball wavulana Singida waliibuka na ushindi wa 10-6 dhidi ya Tanga.


Kwa upande wa mchezo wa riadha katika mita 100 maalum kwa wote Singida ilishinda namba moja. Kwa mita 1500 wasichana Singida ilishika namba tatu, huku wavulana mita 1500 hit ya kwanza walishika namba 8 na hit ya pili namba 7.Wasichana katika mita 200 hit ya kwanza walishika namba tatu na hit ya pili namba tano huku wavulana katika mita hizohizo hit ya kwanza namba nne na hit ya pili na tatu.


Ikumbukwe jana Juni 8, 2024, Singida ilipigwa mabao 5-0 dhidi ya Rukwa kwa mchezo wa soka wanaume huku wasichana kati ya Singida na Rukwa walitoa sare ya bao 1-1.


Kwa upande wa Kikapu, Singida ilipotezwa kwa vikapu 24-10 mbele ya Pemba ambao waliibuka kidedea, huku wasichana wa Singida wakifungwa kwa vikapu 23-8 dhidi ya Iringa.


Netball nako mambo yalikuwa magumu ambapo Singida walichapwa magoli 22-19 dhidi ya Kilimanjaro

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.