• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SPIKA TULIA AXON AWATAKA MAAFISA HABARI SERIKALINI, KUACHA USIRI KWA TAARIFA ZISIZOKUWA ZA SIRI

Posted on: March 28th, 2023


SPIKA wa Bunge wa Tanzania, Tulia Axon amewataka Maafisa Habari na Uhusiano Serikalini, kuacha usiri wa taarifa za wazi katika taasisi zao, ili kurahisisha upashanaji habari, baina ya Serikali na wananchi wake.

Tulia ameyasema hayo leo 27, March 2023, wakati akitoa salamu kwa maafisa hao, kabla ya ufunguzi wa kikao cha 18 cha Maafisa Habari, uhusiano na mawasiliano Serikalini, kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

"Tuwasaidie wananchi na viongozi kupata taarifa kwenye mitandao ya Serikali...Wabunge wanapojenga hoja wakiingia tu kwenye tovuti, basi mara moja wanapata takwimu na taarifa zilizo sahihi," amesisitiza Spika.

Aidha ili kuiwezesha jamii kupata taarifa maendeleo zinazo tekelezwa na Serikali yao, Spika amewataka maafisa habari,uhusiano na mawasiliano ya Umma serikalini, kujikita katika weledi, lakini kwa kuzingatia miiko ya kazi.

Amesema ni wajibu kwa maafisa habari na mawasiliano kuhakikisha taarifa sahihi zinawafikia wananchi na kuyaelewa kwa kina yale yanayotekelezwa, hali itakayosaidia jamii kujenga imani kubwa na Serikali yao.

Kupitia salamu hizo, Spika amewataka maafisa hao kuhakikisha tovuti za taasisi zao zinabeba taarifa sahihi, Ili kuwasaidia viongozi na wananchi kuelewa yale yanayojiri, kila wanapohitaji kupata kwa wakati taarifa.

Katika hatua ingine Spika amesema pamoja na maafisa hao kuripoti taarifa kwenye tovuti za umma, wanatakiwa pia kuwa na uelewa mpana zaidi wa sekta mbalimbali mkoani, wizara na kuielewa Ilani ya CCM, kutokana na Serikali iliyopo madarakani, kuwa inatekeleza Ilani husika.

Kikao cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na mawasiliano ya umma Serikalini, kinachoendelea Jijini Dar ves Salaam, ni cha muda wa siku tano, na kauli mbiu yake ni “Mawasiliano ya Kimkakati.Injini ya Maendeleo."


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.