• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TALGWU SINGIDA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS ZA KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI...

Posted on: January 10th, 2024


Chama cha Watumishi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) mkoani Singida kimeunga mkono jitihada za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo kwa kutoa mchango katika ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Unyamikumbi, Manispaa ya Singida.

Akitoa mchango wa chama hicho leo, Mwenyekiti wa TALGWU Mkoa wa Singida, Bi. Agness Lucas John, amesema chama cha TALGWU mkoa wa Singida kimeridhishwa na utendaji kazi wa watumishi Manispaa ya Singida pamoja na mahusiano mema baina ya Manispaa ya Singida na Chama hicho.

“Mahusiano mema siku zote ni ishara njema katika kufikia malengo.” amesema Bi. Agness

Mwenyekiti huyo ambaye aliambatana na Katibu wa TALGWU mkoa Sunday Christopher Nzaligo, Mwenyekiti wa TALGWU Wilaya, Bahati John na katibu wa Wilaya William Mbezi, amekabidhi mifuko 10 ya saruji na kusema kukamilika kwa jengo la mama na mtoto katika Zahanati ya Unyamikumbi, kutawawezesha wananchi kupata huduma bora lakini pia watoa huduma wa afya kufanya kazi katika mazingira bora na hivyo kuongeza ari katika kutekeleza majukumu yao.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida , Edward Mboya, ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu, ametoa pongezi kwa uongozi wa TALGWU mkoa kwa kuguswa kwenye shughuli za maendeleo, na kuwataka kutosita wakati mwingine na kwamba milango iko wazi kwa ushirikiano.

Aidha Mboya amesema, wajibu wa mwajiri ni kutoa ushirikiano kwa vyama vya wafanyakazi, ambapo alipongeza pia ziara iliyofanywa hivi karibuni na viongozi wa chama cha TALGWU katika baadhi ya kata na kusema ziara kama hizo husaidia kubaini changamoto zinazowakabili watumishi na wananchi hivyo kushirikiana katika kuzitatua.

Akipokea mchango huo wa chama cha TALGWU, Naibu Meya wa Manispaa ya Singida Geophrey Mdama, amekipongeza chama hicho kilichojitoa kwa ajili ya wananchi wa Singida na kusema“ Ilani ya CCM imetekelezwa kwa vitendo”.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TALGWU wilaya ya Singida Mjini, Bahati John, hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya wananchama 343 wameweza kusajiliwa kupitia matawi 07 yaliyoanzishwa hivi karibuni.

 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.