• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANESCO MKOA WA SINGIDA YAPONGEZWA KWA USHIRIKISHI MZURI WA CHAMA PAMOJA NA TAASISI ZA SERIKALI

Posted on: January 8th, 2024

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu ameipongeza TANESCO kwa  kujitahidi kuwa na mahusiano mazuri na Taasisi mbalimbali za serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi  kwa kuwashirikisha viongozi hao kwa lengo la kutangaza huduma wazitoazo pamoja na kupokea maoni na changamoto mbalimbali  ili kuweza kuzitatua na kuleta maendeleo kwa wananchi.

Hayo yamesemwa  January 08, 2024 katika kikao kazi kilichoandaliwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kilichohusisha wadau mbalimbali wa umeme wakiwepo viongozi wa Chama na serikali pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali.

Mstahiki Meya pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi Lucia Mwiru wamempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya bilioni 3.4 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya umeme katika Mkoa wa Singida ambapo pia wamelishukuru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Singida kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa kwa Chama na Serikali na kuliomba kuendelea kuzitendea haki fedha zilizopokelewa  na kuzifanyia kazi iliyokusudiwa na serikali na kutekeleza miradi hiyo kwa wakati uliopangwa.

Madiwani wa Manispaa ya Singida wamewakumbusha TANESCO kuendelea kuelimisha wananchi wa Mkoa wa singida kuhusu miradi inayoletwa na Serikali ili kutoa mikanganyiko ya gharama za uvutaji umeme inayotokea kutokana na utofauti wa ufadhili wa miradi inayosambaza umeme Manispaa ya Singida.

Katika kikao kazi hicho madiwani wa Manispaa ya Singida pia wameipongeza TANESCO kwa huduma nzuri pamoja na ushirikishi mzuri kwa viongozi wa serikali  pia kuzidi kupambana kusambaza umeme katika kata zilizopo pembezoni mwa Manispaa.

Pamoja na hayo madiwani wameliomba shirika hilo kuwashirikisha hasa kwa maeneo yanayogusa kata zao ili kutambua vijiji na vitongoji  vyenye uhitaji zaidi wa huduma ya nishati ya umeme.

Mpaka sasa serikali imefanikisha kufikisha umeme maeneneo ya vijijini kwa asilimia nyingi kupitia mradi wa REA, na baadhi ya maeneo yakiendelea kufikiwa kupitia mradi wa PERU URBAN  na baadhi ya maeneo kupitia bajeti za ndani za TANESCO.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.