• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TASAF KUPANDA MITI 37,812 MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: January 23rd, 2024



Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Manispaa ya Singida, kupitia walengwa unatarajia kupanda miti zaidi ya 37,000 katika maeneo mbalimbali yakiwemo maeneo ya taasisi ndani ya Manispaa.


Wawezeshaji wa TASAF Manispaa

leo Januari 23,2024 wametembelea na kukagua vitalu vya miti ikiwa ni maandalizi ya zoezi la upandaji miti yenye ubora linalotarajiwa kufanyika Alhamisi wiki hii.


Pendo Phinias na Salma Charles wawezeshaji wa walengwa wa TASAF ambao waliongoza na Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira, Jacob Chibuga , lengo likiwa ni kukagua miti bora katika vitalu tofauti kabla ya kusambazwa tayari kwa kupandwa.


TASAF imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ukiwemo mradi wa upandaji miti, katika baadhi ya mitaa ambayo inatekelezwa kupitia ajira za muda kwa walengwa.


Lengo la TASAF kupita katika vitalu hivyo ilikuwa na kujiridhisha endapo miti hiyo inafaa na inatosheleza kwa zoezi lililopo mbele.


Jumla ya miti 37,812 inatarajiwa kupandwa siku ya Alhamisi ya Januari 25, mwaka huu na itasambazwa katika vijiji/mitaa 27 ndani ya Manispaa ya Singida.


Sambamba na upandaji Miti, Wawezeshaji walifanya pia ukaguzi katika barabara ya mtaa wa Mnung’una  ambayo inarekebishwa na kusimamiwa  na walengwa wa mradi wa TASAF kutoka Mtaa wa Mnun'guna, Kata ya Minga lengo  likiwa kuisaidia jamii inayozunguka eneo hilo.


Msimamizi wa miradi ya kijamii kupitia mradi wa TASAF katika Mtaa wa Mnung'una, Mwajuma Shaban Simba ambaye pia anasimamia mradi wa Barabara (PWP) yenye urefu wa km. 1.4 ameipongeza serikali kwa kuwapatia ajira za muda walengwa wa TASAF kwani ajira hizo zimekuwa msaada kwao na familia zao kutokana na kipato wanachopata pindi wanapotekeleza ajira za muda.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.