• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUJIPANGE KUONESHA UTOFAUTI WETU KWA UBORA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU

Posted on: August 21st, 2024


Mkurugenzi wa mpya wa Manispaa ya Singida, Joanfaith Kataraia amewataka watumishi wa Manispaa ya Singida kujipanga katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuitofautisha halmashauri hiyo na zingine kwa ubora katika utekelezaji wa majukumu na hasa ukusanyaji wa mapato.

Mkurugenzi kataraia amesema hayo leo Agosti 21, 2024 wakati akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida baada ya makabidhiano ya ofisi baina yake na Mkurugenzi aliyehama.

Kataraia amesema kama Manispaa tuna kila sababu ya kujitofautisha na wenzetu kwa ubora na ubunifu katika kutekeleza shughuli zetu hasa katika kukusanya mapato.

Aidha ameomba ushirikiano kwa watumishi ili kuweza kusukuma gurudumu la maendeleo mbele kwa kuboresha namna ya utekelezaji wa majukumu ya kila idara na hivyo kufikia malengo kwa ubora hali itakayoifanya Manispaa kuwa kioo kwa wengine.

“Tunapaswa kujiboresha katika shughuli zetu ili kuonesha utofauti kati yetu manispaa na halmashauri nyingine….ninaimani kwa ushirikiano wetu hakuna litakaloshindikana”, amesisitiza Kataraia.

Pamoja na hayo, Mkurugenzi Kataraia ametaka Wakuu wa Idara na Vitengo kusimamia vyema fedha za serikali na hasa mikopo ya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha zinarejeshwa kwa wakati.Pia ametaka wakusanyaji wa mapato kuhakikisha wanapeleka fedha benki  kwa wakati ili kuepuka madeni pamoja na hoja  za ukaguzi.

Akizungumzia suala la utoaji huduma Mkurugenzi Kataraia amesema, anatarajia kuona huduma nzuri zikitolewa kwa wananchi ili kuepuka malalamiko lakini pia huduma nzuri kwa watumishi wengine wenye uhitaji pwa huduma katika ofisi za Manispaa.

Mkurugenzi huyo pia ametumia fursa hiyo kuwaasa Wakuu wa idara hao pamoja na wakuu wa vitengo wameaswa na mkurugenzi wametakiwa kusimamia vyema miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa thamani halisi ya fedha ilitolewa “tusimamie miradi yote kwa nguvu zote…. Tutembee kwa spidi kweli kweli”, amehimiza.

 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.