• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUNAJIVUNIA AMANI NA UTULIVU NCHINI- MURAGILI

Posted on: December 9th, 2023

Mkuu wa wilaya Mhandisi Muragili amewaongoza wananchi wa Wilaya ya Singida katika kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru kwa kufanya usafi na kuzuia maji kwenda katika makazi ya watu katika kata ya Minga eneo  la Mnung’una Manispaa ya Singida


 Zoezi hilo pamoja na wananchi lilishirikisha pia viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.


Miongoni mwa viongozi hao ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Kiaratu, Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe, Katibu Tawala wilaya ya Singida, Bi. Naima Chondo, wajumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Singida Mjini, Bi. Lucia Mwiru, wakuu wa Taasisi mbalimbali, Madiwani, wakuu wa Idara na Vitengo walioongozana na watumishi katika Idara na vitengo hivyo.


“…Tunamshukuru Rais wetu kwa kutambua umuhimu wa  jamii, ndiyo maana alitangaza kuwa siku kama yale leo zifanyike shughuli za kijamii na sisi tulianza jana kwa kupanda miti zaidi ya 500 na kutoa huduma mbalimbali za kijamii , kutembelea wagonjwa pamoja na kufanya kufanya usafi..." Amesema Mkuu wa wilaya.


 Amesema miti iliyopandwa ni kumbukumbu tosha ya maadhimisho haya na kwamba miti hiyo itaishi kwa muda mrefu na kushuhudiwa na vizazi vijavyo.


Mhandisi Muragili amepongeza wananchi na viongozi waliojitokeza katika kilele Cha maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika na kufanya kazi za kijamii hasa kudhibidi mafuriko ya maji kuelekea kwenye makazi ya watu katika eneo hilo.


 "kipindi hiki cha mvua nimekuwa nikipokea malalamiko kuhusu mafuriko

Ndiyo maana maadhimisho ya mwaka huu tumeamua  kuungana na jamii ya hapa kuweza kuthibiti hali ya maji kwenda katika makazi " amesema.


Akihitimisha hotuba yake Mkuu huyo wa wilaya amewashukuru wote walioshiriki kufanya kazi hiyo na kutoa maelekezo kwa viongozi wa mtaa wa Mnu'nguna akiwemo Mh Diwani(Minga) ya kutunza vizuizi vya maji vilivyowekwa eneo hilo haviondolewi kwa kuweka  ulinzi Ili kuepusha madhara yatakayotokana na mafuriko nyakati hizi za mvua.


Aidha kulingana na hali halisi ya eneo hilo, Mkuu wa wilaya Mhandisi Muragili ameahidi kuleta  'excavetor' Kwa ajili ya kuzibua  mitaro lakini pia zaidi kuwasihi wananchi kuendelea kutunza mazingira.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.