• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

"TUWAJIBIKE KATIKA MAPATO, TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KWA AJILI YA HALMSHAURI"

Posted on: February 9th, 2026

“Tukawajibike katika mapato, tushirikiane kwa pamoja kwa ajili ya Halmashauri”

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Geofrey Mdama, ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa Manispaa hiyo kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, akieleza kuwa mapato hayo ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa Manispaa na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi.

Mdama ametoa kauli hiyo leo Februari 9, 2026, wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Robo ya Pili ya mwaka, uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, ambapo masuala mbalimbali ya maendeleo na utendaji wa halmashauri yalijadiliwa.

Amesema ukusanyaji mzuri wa mapato unaongeza uwezo wa halmashauri kutoa huduma bora za kijamii ikiwemo elimu, afya na miundombinu, pamoja na kutekeleza miradi ya kiuchumi inayolenga kuboresha maisha ya wananchi.

Katika hatua nyingine, Meya amewataka Waheshimiwa Madiwani kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika ulipaji wa mapato halali, akisisitiza kuwa ushiriki wa wananchi ni msingi wa mafanikio ya mipango ya maendeleo.

Aidha, amewataka wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Halmashauri (CMT), timu za mapato na watendaji wa kata kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na uwajibikaji, huku akisisitiza mshikamano na ushirikiano kama njia pekee itakayoiwezesha Manispaa ya Singida kufikia malengo yake ya maendeleo endelevu.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • BARAZA LA MADIWANI SINGIDA MANISPAA LAPITISHA BAJETI

    February 10, 2026
  • "TUWAJIBIKE KATIKA MAPATO, TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KWA AJILI YA HALMSHAURI"

    February 09, 2026
  • KAMATI YA MAENDELEO WILAYA YAKAGUA NA KUTEMBELEA WANAFUNZI WAKE

    February 08, 2026
  • DAS AWAASA WATUMISHI BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 06, 2026
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.