• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UBORA WA MIUNDOMBINU UENDANE NA UBORA WA ELIMU

Posted on: October 27th, 2023

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameeleza kuridhishwa na ubora wa mradi wa elimu walioutembelea  na kutoa rai kwa viongozi wa mkoa, wilaya na Halmashauri ya Manispaa kuhakikisha ubora huo unaenda sambamba na ubora wa elimu.

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa leo Oktoba 27, 2023 imetembelea miradi katika mkoa wa singida katika Wilaya ya Ikungi na Halmashauri ya Manispaa ya Singida ambapo wamempongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake.

Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Justine Nyamoga, amesema ubora wa shule ziliziojengwa imeondoa utofauti baina ya shule binafsi na shule za serikali na kutoa rai kwa viongozi na hasa walimu kuhakikisha miundombinu hiyo inatunzwa ili iweze kudumu kwa kipindi kirefu.

“ …..nitoe rai kwa walimu kuhakikisha miundombinu inatunzwa…. Tusaidiane kuenda na ustarabu kulingana na miundombinu tuliyonayo”, Amehimiza Mh. Nyamoga.

Mhe. Nyamoga amempongeza waziri wa OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengelwa  na watangulizi wake pamoja na wazaidizi wake wote kwa kazi nzuri ya usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa kote nchini.

Makamu Mwenyekiti huyo aliteua wajumbe wawili kuzungumzia miradi hiyo ambapo Mhe. Hawa Mwaifunga, alimshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuletea wananchi wake maendeleo  na kuongeza kuwa upande wa pili umkuwa ukilalamikia maendeleo kwa wananchi jambo ambalo Rais ameliona kwa dhati ya moyo wake.

Mhe. Hawa amesisitiza kuwa jambo ambalo wananchi wanalopaswa kuona kwa sasa ni elimu bora kwa watoto wao inayoendana na miundombinu bora ambayo Mhe. Rais ameipigania ili kuhakikisha watoto wanapata mazingira bora ya kujifunzia.

Aidha ametoa pongezi kwa uongozi wa Mkoa, Wilaya na Manispaa ya singida kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo pia kwa mafundi waliokasimiwa kazi ya ujenzi ( local Fundis)kwa kazi nzuri ya kizalendo waliyoifanya.

Naye Mheshimiwa Magreth Sitta, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipa elimu kipaumbele , na kuiasa jamii kuhakikisha wanasajili watoto kujiunga na elimu ya awali na msingi lakini pia kuhakikisha watoto waliosajiliwa wanahudhuria shuleni.

“ ili kuuunga mkono kazi nzuri anayofanya Rais wetu, ni nyinyi kuhakikisha watoto wanasajiliwa na wanahudhuria shuleni”, amesema Mhe.Sitta huku akiihimiza utunzaji wa miundombinu hiyo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.