• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UKUAJI WA MANISPAA, UENDANE NA HUDUMA BORA ZA JAMII - MBUNGE SIMA

Posted on: May 4th, 2024


Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mussa Ramadhan Sima, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Singida kuhakikisha huduma za jamii zinazotolewa, zinaendana na ukuaji wa mji hasa kuelekea kuwa Jiji.

Mbunge Sima amesema hayo, leo Mei 04, 2024 wakati akikabidhi gari la wagonjwa na vifaa tiba kwenye Hospitali ya Manispaa. Halmashauri ya Manispaa ya Singida ni miongoni mwa halmashauri ambazo zimepokea Magari ya wagonjwa na vifaa tiba ni kutoka Serikali kuu katika jitihada za kuboresha huduma za afya.

Akiongea na watumishi na viongozi mbalimbali katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo, Mbunge Sima amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kusikia kilio cha wananchi wa Jimbo la Singida Mjini, Kwa kuwapatia magari 2 ya wagonjwa, dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 450 na kuongeza kuwa tayari maombi ya fedha kwa ajili ya ukarabati wa majengo ya zamani ya hospitali hiyo ya Manispaa yameshawasilishwa Ili mwonekano wa hospitali hiyo uendane na hadhi ya mji hasa katika safari yake ya kuwa Jiji.

" ...hatuwezi kuwa na hospitali ndani ya mji unaoelekea kuwa Jiji, ambao mwonekano wake hauendani na hadhi ya mji. Tayari tumeiomba Serikali itupatie fedha kwa ajili ya ukarabati wa majengo hayo" amesema Sima.

Amesema asilimia 90 ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba umeshafanyika na kwamba kilichobaki ni kutoa huduma sahihi na kwa wakati kwa wagonjwa jambo ambalo amesema litapunguza ama kumaliza kabisa malalamiko kuhusiaña na ubora wa huduma.

Mbunge Sima ameongeza utekelezaji na usimamizi wa miradi ya afya inayoendelea kutekelezwa ya jengo la wazazi pamoja na jengo la huduma za dharura ambapo amesema miradi hiyo inatekelezwa kwa kiwango chenye ubora kwa kutumia _force account_.

 Sima amepongeza na kihimiza ushirikiano baina ya watumishi, viongozi wa chama na Serikali pamoja na jamii, na kusema ushirikiano uliopo utapunguza kero na malalamiko ya wananchi kuhusiana na huduma za afya.

" Jukumu la usimamizi wa huduma ni letu sote...tushirikiane ku-solve_matatizo Ili huduma ziwe bora.” amesisitiza.

Naye katibu wa CCM Wilaya ya Singida Mjini, Neema Luga, ameshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kulitendea haki Jimbo la Singida Mjini Kwa miradi mbalimbali hasa ya Afya.

"Tunamshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia mwakilishi wetu Mhe. Mbunge kwa miradi ya afya, Magari ya wagonjwa, dawa na vifaa tiba hii yote ni kututakia Wana Singida afya njema Ili tuweze kuleta Maendeleo katika Jimbo letu", amesema Luga.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.