• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

'USALAMA WA WATOTO UWE NI KIPAUMBELE" LUPEMBE

Posted on: October 23rd, 2023

Maafisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Singida wametakiwa kusimamia na kuhakikisha usalama wa watoto wawapo nyumbani na shuleni.

Mkurugenzi wa Manispaa Ya Singida Jeshi Lupembe, ametoa Maelekezo hayo Wakati wa ufunguzi wa mafunzo kazi yaliyojumuisha maafisa Maendeleo ya Jamii , wathibiti ubora wa elimu, maafisa Ustawi wa Jamii na walimu katika ukumbi wa kituo Cha walimu Nyerere.

Jeshi amesema, mafunzo hayo ya

Mpango wa Shule Salama kwa Elimu ya Awali na Msingi una lengo la kuhakikisha usalama wa mtoto wakati wote na kuwata maafisa Maendeleo ya Jamii na maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanatokomeza ukatili Kwa watoto.

Pamoja na hayo, Mkurugenzi huyo amewataka maafisa Maendeleo ya Jamii kuhamasisha Jamii kuhusu suala la uchangiaji chakula shuleni, uundaji wa mabaraza ya watoto, uanzishaji wa Klabu mbalimbali za malezi na makuzi lakini pia uundaji wa dawati la ulinzi na usalama wa mtoto

Amesema, mafunzo hayo pia yatawajengea uwezo walimu wa kumlinda mtoto katika mazingira ya kufundishia na kuzuia ukatili kwa watoto wawapo shuleni, njiani kwenda shuleni na kurejea majumbani .

Katika mafunzo kazi hayo, maada mbalimbali ziliwasilishwa kupitia maafisa Maendeleo ya jamii na kuchangia na Idara shiriki ya elimu Msingi na Ofisi ya Mthibiti ubora wa shule lengo likiwa ni kufanya watoto wa shule za awali na msingi wanakuwa katika maeneo salama ya kujifunzia shuleni na nyumbani.

Afisa Mthibiti ubora wa Elimu Bi. Neema Maika akichangia mada amesema, Maafisa Maendeleo wanatakiwa kushirikiana na walimu kuhakikisha mpango wa shule salama unafanikiwa licha ya uwepo wa changamoto kadhaa.

“Maafisa mnatakiwa kushirikiana na walimu kuwapa elimu ya stadi za maisha wanafunzi pale mnaposhiriki katika vikao vya shule litakuwa ni jambo bora sana kwa usalama wa mtoto," amesema.

Aidha Mthibiti Mkuu wa Ubora wa Shule, Seif Mziray katika kuchangia mada amesisitiza maafisa hao kuhakikisha wanahudhuria katika vikao ambavyo vinafanyika shuleni na kuwa na mahusiano bora na walimu ilikuona mambo yanakwenda sawa kati ya walimu, wazazi na maafisa hao.

Naye Mkuu wa Idara ya Maendeleo, Bi. Upendo Naftali ametoa rai kwa Maafisa Maendeleo kushirikiana Kwa karibu na walimu ili kuwa na mikakati bora hasa katika suala la uchangiaji wa chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata mlo shuleni .

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.