• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

USHIRIKIANO BAINA YA WAZAZI, WANAFUNZI NA WALIMU, SIRI YA KUFUTA DARAJA SIFURI SEKONDARI YA IPEMBE IPEMBE SEKONDARI

Posted on: April 6th, 2023

Ushirikiano wa wanafunzi, wazazi na walimu umetajwa kuwa msingi mkuu katika kuleta maendeleo ya elimu katika shule za sekondari na msingi katika manispaa ya Singida

Mtumishi hodari wa mwezi Machi, 2023, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ipembe, Mwl. Christopher Bariki, ameshinda tuzo ya mwezi kutokana na kuiwezesha shule yake kuwa shule ya sekondari pekee iliyoweza kufuta daraja sifuri kidato cha nne mwaka 2022.

Mwalimu Christopher,amesema mafanikio aliyopata yametokana na ushirikiano mkubwa baina ya wanafunzi wenyewe, wazazi na walimu na kwamba kazi yake kama mkuu wa shule ni kuunganisha makundi hayo na hivyo kufanikiwa.

“ nimepokea kwa furaha ushindi huu kwa niaba ya walimu wenzangu, wanafunzi na wazazi, kazi yangu ilikuwa ni kuunganisha nguvu za wazazi, wanafunzi na walimu” amesema Mwl. Christopher

Ameyataja malengo ya shule hiyo kwa sasa kuwa ni kufuta daraja la nne         ( Division Four) kupitia mikakati mbalimbali waliyojiwekea shuleni hapo ikiwamo ya mafunzo rejea kwa walimu hasa katika mada ambazo ni ngumu.

Mkuu huyo wa shule ameipongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya kujifunzia na kufundishia ikiwa ni pamoja na kuzipatia shule za sekondari vitabu vya kufundishia na kujifunzia.

Ametoa rai kwa watumishi wengine kufanya kazi kwa bidii ili kuunga mkono jitihada zinazofanywana Mhe.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuhakikisha jitihada  hizo hazipotei bure.

Akimtunuku cheti mtumishi hodari wa mwezi Machi, 2023, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Dr. Adrianus Kalekezi , amewasisitizia wakuu wa Idara na Vitengo kuendelea kutenda haki  kwa watumishi walio chini yao kwa kuwabaini watumishi wanaofanyakazi kwa juhudi na maarifa ili kuwatangaza na kuwatunuku, kama njia moja wapo ya kuwamotisha.

Amesema, Watumishi wapo wengi na wanafanya kazi lakini wapo wale ambao wameongeza juhudi na maarifa na kuiwezesha halmashauri kufikia malengo yake ya kutoa huduma bora kwa wananchi .

“ Niwasisitize wakuu wa idara na vitengo, tuendelee kutenda haki, Yule mtu anayefanya kazi kweli kwa juhudi na maarifa, tumbaini na tumtangaze ili wengine waige mfano, Amesema Kalekezi.

Zoezi la kuwamotisha watumishi hodari kila mwezi katika Manispaa ya Singida limekuwa chachu kwa watumishi na kuwafanya kujituma zaidi katika utendaji kazi wao kama ambavyo dhima  na maono ya Manispaa ya Singida inavyofafanua .

Programu hii ilianza Septemba 2022, ambapo kamati inayojumuisha wajumbe wa vyama vya wafanyakazi na baadhi ya wakuu wa idara na vitengo, iliundwa ili kupitia sifa na mchango wa kiutendaji wa  watumishi wanaopendekezwa kutoka katika idara na vitengo kwa kila mwezi na hatimaye kupata mshindi.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.