• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIJANA MANISPAA YA SINGIDA WAASWA KUUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

Posted on: April 26th, 2025

Vijana katika Manispaa ya Singida wameaswa kuuenzi Muungano kwa kupendana, kuheshimiana, kusikilizana na kujaliana ili kudumisha umoja na uzalendo ulioasisiwa na viongozi waanzilishi.

Akifungua Kongamano la Vijana kuhusu Muungano, leo tarehe 26 Aprili, 2025 Katibu Tawala wa Wilaya ya Singida Bi. Naima Chondo amesema Vijana ndiyo wenye dhamana ya kuulinda na kuuheshimu muungano kwa kuwa ni tunu iliyoachiwa na viongozi waasisi ambao ni Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Abeid Aman Karume.

“ Viongozi na wazee wetu waliungana kwa amani ili kutufanya tuwe pamoja kama ambavyo kauli mbiu inavyosema inatugusa sisi vijana”, amesema Bi. Chondo

Amesema Kauli mbiu ya mwaka huu inayosema “ Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : Muungano wetu ni dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa : Shiriki uchaguzi  Mkuu wa mwaka 2025” nijukumu la vijana kuilinda kuheshimu na kuitunza tunu hii ili kuleta maendeleo kwa mustakabali wa vizazi na vizazi

Naye Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Singida Athman Mnyusi amesema, iko haja ya kuwa na midahalo/ makongamano kama haya kila mwaka ili kutoa elimu kwa vijana kuhusiana na suala zima la Muungano lakini pia kufanya shughuli za kijamii kama vile usafi, kuzindua miradi ya maendeleo na michezo ambazo kwa pamoja zinatuleta pamoja na hivyo kudumisha upendo, mshikamano, umoja, heshimia, kujaliana na kusikilizana.

“ kauli mbiu hii katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano imekuja wakati muafaka ili vijana kuelewa kwa uhalisia suala zima la muungano…” amesema Mnyusi

Kongamano la vijana katika Manispaa ya Singida limefanyika wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania huku vijana zaidi ya 300 wakishiriki kutoka shule za  shule za sekondari za Mwenge, Mungumaji, Mughanga, Kindai, na Dr, Salmin Amour pamoja na wachokoa mada ambao ni Mwl. Ulumbi Shani (Shule ya Msingi Ukombozi), Mwl. Charles Saenda ( Mwenge Sekondari) na Mwl. Habil Ndumbaro ( Mwenge Sekondari).

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.