• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

'VIKUNDI VIREJESHE FEDHA ZA MIKOPO'

Posted on: March 7th, 2024



SERIKALI imevitaka Vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kuhakikisha vinarejesha fedha za mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri, ili wengine waweze kukopeshwa na kusisitiza kuwa fedha hizo sio zawadi Bali ni kwa ajili ya maendeleo.

Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, katika Halmashuri ya Manispaa ya Singida na Mgeni Rasmi, Bi. Naima Chondo, ambaye ni Katibu Tawala wilaya ya Singida katika Uwanja wa Stendi ya Zamani.

Maadhimisho hayo ya Siku ya Wanawake wa Manispaa ya Singida yalihudhuriwa na viongozi wa Serikali, chama, Taasisi, watumishi wa Manispaa na wanawake wa Singida Kwa ujumla wao.

Katibu Tawala wa Wilaya Naima Chondo, amesisitiza kuwa Vikundi vilivyokopa vinapaswa kurejesha mikopo, ilikuwapa nafasi wengine ya kuchukua mikopo hiyo.

Kiongozi huyo alisema kutoka kufika Julai, 2022 hadi Februari 2023 jumla kiasi cha fedha Tsh 434,000,000, kimetolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Singida kwa vikundi 108, wanawake wakiwa Vikundi 72, vijana 32 na watu wenye ulemavu Vikundi 04 nakusema hii ni kazi kubwa iliyofanywa na Halmashauri.

"Nitumie fursa hii kuwakumbusha kuwa fedha zilizotolewa ni mkopo na sio zawadi au msaada, mnatakiwa kuzipeleka kwenye lengo mlioombea mkopo na kuzirudisha kama mlivyoelekezwa na wataalum ili wengine waweze kukopeshwa" amesisitiza Chondo

Amesema Vikundi vinaoshindwa kurudisha Kwa wakati kutasababisha wengine kushindwa kukopa Jambo ambalo ni kosa kisheria.


"... nisisitize sana kuwa watu kuwa waaminifu kwa mikopo mliokwisha kupata na kurejesha kwa wakati kuepuka usumbufu" amesema Mgeni Rasmi.

Aidha kiongozi huyo ameendelea kiwataka wanawake kushirikiana na kujikwamua kimaendeleo katika nyanja zote huku akisema maadhimisho hayo yawe chachu ya mafanikio.

Bi Chondo ameendelea kutoa wito kwa jamii kuzingatia kuwekeza kwa wanawake ili kuharakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii ikiwa ni Ujumbe mahususi wa siku ya wanawake Duniani Kwa mwaka 2024.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.