• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAHUSISHENI MADIWANI KATIKA HATUA ZOTE ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - MEYA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: May 11th, 2023

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Kiaratu, ametoa rai kwa wataalamu ngazi zote kuhakikisha wanawahusisha madiwani katika ngazi zote za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mheshimiwa Kiaratu ametoa rai hiyo wakati akihitimisha Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya tatu baada ya kujadili utekelezaji mzima wa miradi ya Maendeleo.

Amesema Halmashauri ya Manispaa ya Singida imepokea fedha kwa ajili ya uboreshaji wa miundo mbinu ya shule za msingi kupitia mradi wa BOOST zaidi ya Shs. Bilioni 1 na  pia kupitia serikali kuu zaidi ya Shs. Milioni 350 kwa ajili ya shule kongwe, hivyo kushauri  shule zote zilizopokea fedha kuhakikisha zinawashirikisha kikamilifu na katika hatua zote madiwani wa kata husika pamoja na wenyeviti wa mitaa na vijiji.

Amesema Diwani akishirikishwa vyema ataweza kusimamia vizuri kamati za ujenzi zilizoundwa ili kuhakikisha kila kitu linatekelezwa kwa uwazi na kwa ukamilifu na kuufanya mradi kuwa shirikishi na hivyo kukamilika kwa wakati.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe, amewataka wananchi katika kata zote kushiriki katika kuibua mradi kulingana na uhitaji wa huduma husika kama shule katika mitaa, vijiji na vitongoji.

Amesema uibuaji huo ambao ni shirikishi jamii uende sambamba na utekelezaji ambapo serikali itaunga mkono ili miradi iliyolengwa iweze kukamilika ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inaingizwa katika mpango na bajeti lakini pia kuiombea miradi hiyo fedha kutoka serikali kuu.

Jeshi alitumia fursa hiyo pia kuelezwa mafanikio yaliyopatikana katika Nyanja ya elimu na utawala bora yaliyoiwezesha halmashauri ya Manispaa ya Singida kupata tuzo za ushindi katika mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, utawala bora na ugatuaji madaraka .

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Bi. Lucia Mwiru, ameupongeza Uongozi wa Manispaa ya Singida kwa tuzo zilizpatikana na kusema hayo ni matunda ya ushirikiano sio tu baina ya Mkurugenzi na watendaji wengine lakini pia baina ya timu ya menejimenti na waheshimiwa madiwani.

Ametoa rai kwa wakuu wa idara na vitengo kutobweteka kwa tuzo hizo na badala yake kuongeza bidii ili kuleta ufanisi zaidi kupitia umoja na msikamano ulijengeka ili kutekeleza vyema ilani ya Chama Tawala  CCM.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.