• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAFURAHISHWA NA UKAMILISHAJI WA ZAHANATI KWA VIWANGO VYENYE UBORA

Posted on: December 11th, 2023

Wajumbe wa kamati ya siasa ya Wilaya ya Singida Mjini wameeleza kufurahishwa na kutoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Manispaa kutokana na kazi nzuri ya ukamilishaji wa miradi ya zahanati 03  za Ititi, Unyianga na Kisasida katika Manispaa ya Singida.Wajumbe hao wametoa pongezi hizo leo Desemba 11, 2023 baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali kujionea hali halisi ya utekelezaji na hatua mbalimbali iliyofikia.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Singida Mjini , Bi. Lucia Mwiru amesema miradi hiyo ya afya imetekelezwa kwa kiwango chenye ubora ambao wananchi wanapaswa kujivunia na kutoa wito kwa wajumbe wa kamati za siasa ngazi ya kata kuwatangazia wananchi kufika katika vituo hivyo ili kupata huduma bora za afya kwani tayari vina watumishi wenye sifa.Miradi iliyotembelewa na kamati hiyo ya siasa ya Wilaya ni pamoja na Mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Utemini, Shamba darasa la wafugaji kata ya Mtipa, mradi wa umeme wa REA katika Kijiji cha Mandewa, ukamilishaji wa zahanati ya Ititi na ujenzi wa barabara  ya Mwenge  kwa kiwango cha lami unaendelea kutekelezwa.Mwenyekiti Mwiru pamoja na wajumbe wa kamati ya Siasa wamempongeza mwekezaji mwenyeji Hassan Tati anayemiliki shamba la mifugo Taish Farm ambaye ameweza kutoa mafunzo kwa wafugaji  zaidi ya  65 katika Manispaa ya Singida juu ya mbinu bora za ufugaji, unenepeshaji  wa mifugo na malisho bora ya mifugo. Kampuni ya Tayish imeweza pia kuajiri zaidi ya watumishi 30 wakiwemo wanawake na wanaume.“ Mwekezaji Tati anastahili pongezi kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya ufugaji na malisho bora ya mifugo kwa wafugaji na wakulima ni moja ya malengo ya ilani ya uchaguzi kuhamasisha uwekezaji lakini pia kuwajengea uwezo wananchi kiuchumi”

Wajumbe hao wametoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanatumia vyema fursa ya uwepo wa mashamba darasa ili kupata ujuzi  katika kilimo na ufugaji ili kuweza kuzalisha mazao kwa wingi lakini pia kufanya ufugaji wenye tija.

Aidha wametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wananchi na kuhakikisha wanapata huduma ya umeme maeneo yote ya vijijini kwa maana ya kata za pembezoni kwa upande wa Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.