• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU MANISPAA YA SINGIDA WAPEWA MAELEKEZO

Posted on: April 9th, 2024

AFISA wa Elimu wa Mkoa wa Singida, Dkt Elipidius Baganda ametoa maagizo kwa walimu wa Mkoa wa Singida kufundisha kwa malengo na kuwa wafuatiliaji ilikuweza kuongeza ufaulu kwa wanafunzi.

Dkt Baganda amesema hayo, katika Kikao kazi cha Tathmini ya Mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba, Kidato cha Nne, Kidato ch Sita na Upimaji wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili, kilichofanyika jana, katika Ukumbi wa Maktaba ya Sekondari, Mwenge.

Katika kikao hicho, Dkt Baganda aliweza kutoa maelekezo kwa walimu na lengo lake kuu kuhakikisha Mkoa wa Singida unakuwa na ufaulu bora kwa mwaka huu, kuanzia ngazi ya chini kabisa.

“Kwanza nataka kuona mkifanya kazi kwa malengo na ufuatiliaji, malengo ni yale ambayo nilisema la nne kufaulu wote la saba asilimia 85, kidato cha pili wafaulu wote cha nne ufaulu kuanzia asilimia 50 na kidato cha sita wafaulu kwa asilimia 100.

 “Lakini suala la nidhamu kwa walimu na wanafunzi lizingatiwe. Wanafunzi wapatiwe mazoezi ya kutosha na ya sahihishwe na maswali yanayotungwa yazingatie viwango.

 “Walimu msimamie uandikishaji na udahili wa wanafunzi na hii ni kwa mwakani kwa wale ambao wataanza darasa la awali na la kwanza pamoja na kuhakikisha kidato cha kwanza wanaripoti shule walimu kama kuna mwanafunzi hajaripoti au hata andikishwa kutoka kwenye kata yako usikubali kukaa kimya chukua hatua.

 “Lakini kama walimu tusimamie vyema ujenzi kwa kujenga majengo bora, majengo ya kamilike kwa wakati na thamani ya fedha ionekana katika majengo hayo. Na suala la utoro shuleni lisiwepo.

 “Pia washaurini(Mthibiti ubora wa shule) Halmashauri kuhakikisha mnasoma maelekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na mthibiti ubora, ili kuhakikisha mambo yanaenda sawa,”alisema Dkt Baganda.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.