• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

"WALIMU SIMAMIENI MIONGOZO NA KUWA WABUNIFU ILI KUINUA KIWANGO CHA ELIMU"

Posted on: September 9th, 2022

Maafisa Elimu ngazi ya Kata, Wakuu wa shule na walimu wakuu katika Manispaa ya Singida wametakiwa kuwa welevu, kujituma kazini na maono yenye nia ya kuleta matokeo chanya, katika kutekeleza na kusimamia kwa ufanisi majukumu yao.

Afisa Elimu Msingi katika Manispaa ya Singida Omar Maje, amesema hayo wakati akifungua semina ya siku moja kwa kwa washiriki hao, juu ya miongozo ya uboreshaji elimu, inayoendelea kutolewa nchini na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI).

Maje amesema kuwa, washiriki wa mafunzo hayo wanapaswa kusimamia miongozo hiyo kwa lengo la kuleta tija na mabadiliko katika nyanja ya elimu, ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi na kuboresha ufundishaji kwa walimu.

Kwa mujibu wa Maje, miongozo hiyo ni “ Changamoto katika uboreshaji elimu ya Msingi na sekondari, nini kifanyike?” na “Mkakati wa  uboreshaji ufundishaji na ujifunzaji kwa elimu ya msingi”.

Afisa elmu huyo ameongeza kuwa, kupitia miongozo hiyo, mabadiliko makubwa katika taaluma yanatarajiwa kwa kuwa sasa inakweda kutafsiriwa kwa vitendo, katika ngazi zote za wadau wa elimu.

Maje amesisitiza kuwa hata hivyo utekelezaji wa miongozo hiyo, utahitaji usimamizi makini na shirikishi baina ya Wakuu washule, walimu Wakuu na maafisa elimu Kata na walimu wote katika shule, ili kuleta ufanisi.

“Ambaye anaona hataweza kusimamia miongozo hii, ajiandae kuachia nafasi yake…., tunataka viongozi wenye maono, kujituma na watakaoleta matokeo chanya kitaaluma…”, amesisitiza.

Mapema kabla ya ufunguzi, Kaimu Afisa Elimu Sekondari, Aminieli Mfinanga aliwataka washiriki kujenga tabia ya kuheshimu muda, wito na kuwatii viongozi wa ngazi mbalimbali, wakiwemo wale wa kisiasa na serikali.

Alisema mafanikio ya utekelezaji wa maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa, yatategemea utii na uwajibikaji katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo, kupitia sekta ya elimu.

Jumla ya washiriki 119 wakiwemo Maafisa Elimu Kata 18, Wakuu wa shule sekondari 25, walimu wakuu shule za msingi 63, aa wakufunzi 13, wameshiriki mafunzohayo maalumu kwa ajili ya kupitia miongozo ya uboreshaji elimu nchini.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KONGOLE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    May 31, 2025
  • Meya atoa onyo kwa wasiotunza mazingira Manispaa ya Singida

    May 31, 2025
  • MKURUGENZI WA MANISPAA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MKOA WA SINGIDA

    May 30, 2025
  • WANANCHI 35 WAFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO SINGIDA

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.