• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI SHULE YA MSINGI UNYAMIKUMBI KUNUFAIKA NA UJENZI WA VYUMBA VIPYA VYA MADARASA

Posted on: December 17th, 2024

Shule ya Msingi Unyamikumbi ni miongoni mwa shule  zilizopata fedha kupitia mradi wa BOOST  mwaka 2023/2024 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu 6 ya vyoo vyote kwa pamoja vikigharimu kiasi cha Tshs. 79,2000,000.00

Shule hii ni moja ya shule kongwe za msingi katika Manispaa ya Singida iliyojengwa miaka 1954 hivyo wanafunzi zaidi ya 1000 wanatarajiwa kunufaika na mradi huo.

Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Julius John Mgogo ameishukuru serikali ya awamu ya sita  kwa kuipatia shule hiyo fedha ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu sita ya vyoo vya wasichana kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya kujifunzia na kufundishia wa BOOST.

Pamoja na hayo, Mgogo ameiomba serikali kuipatia shule hiyo walimu kwani walimu kutokana na uhaba wa walimu uliopo ambapo kwa sasa kuna walimu 11 na uhitaji ni walimu 16

“Shukrani za pekee ziende kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake ya kukuza elimu ambayo yameifikia shule yetu kongwe ya Unyamikumbi…… shule ya Tangu mwaka 1954. Tunaomba kuongezewa walimu na kukamilisha vyumba 2 vya madarasa ili wanafunzi wetu 1021 waweze kusoma katika mazingira bora”, amesema Mgogo

Shule ya Msingi Unyamikumbi inatarajia kuwa na wanafunzi 1021 kwa mwaka 2025 kutokana na takwimu za uandikishaji za mwaka 2024


Mradi wa ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa  Shule ya Msingi Unyamikumbi ukiendelea na hatua ya ukamilishaji ( skimming)


Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo , ujenzi huu ni sehemu ya mradi unaogharimu Tshs. 10,2000,000.00 ukiwa unaendelea na ujenzi

vyumba vya madarasa katika shule ya Msingi Unyamikumbi vilivyojengwa miaka ya 1954

Moja ya vyumba vya madarasa vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi miaka ya 1954

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.