• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI WANAORIPOTI KIDATO CHA KWANZA WAFIKIA ASILIMIA 36

Posted on: January 9th, 2024

Jumla ya wanafunzi 1873 wa kidato cha kwanza katika Shule za Sekondari za Manispaa ya Singida sawa na asilimia 36.30, wameweza kuripoti katika shule walizopangwa hadi kufikia Januari 9,2024.


Kwa mujibu wa taarifa ya hali ya kuripoti wanafunzi wa Kidato cha kwanza mwaka huu,iliyowasilishwa katika kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, wanafunzi hao wamepokelewa bila masharti ikiwa ni maagizo kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).


Taarifa hiyo imeonesha Wanafunzi hao 1873 ambapo wasichana ni 1098 na wavulana 775 walioripoti, ni kati ya wanafunzi 5160 ambao wanatakiwa kuripoti katika shule mbalimbali katika Manispaa ya Singida wasichana wakiwa 2603 na wavulana 255. Zoezi la kuripoti linaendelea.


Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Singida, Athuman Mnyusi, katika kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu wanaripoti shuleni, amefanya uhakiki katika baadhi ya shule ili kujionea hali halisi ya mapokezi ya wanafunzi hao ikiwa ni pamoja na kupokea changamoto zilizojitokeza na kuzitatua.


Shule zilizotembelewa ni pamoja na Sekondari za Mughanga, Dk Salmin Amour, Utemini, Maharu, Mandewa, Manga, Mtipa na Uhamaka.


Kiongozi huyo pamoja na mambo mengine amewasisitiza walimu kuhakikisha wanafunzi wanaripoti bila masharti yoyote kwani mazingira na miundombinu ya shule inakidhi vigezo.


Aidha Mnyusi amewaasa wanafunzi hao wapya kuhakikisha wanahudhuria vipindi na kuepuka utoro kwani shule zote zinamazingira salama kwa ajili ya kujifunzia na kufundishia.


Lengo la Serikali ya Tanzania ni kuona kila mtoto aliyefaulu anaripoti mara moja na kuanza masomo hata kama hana sare za shule wakati taratibu nyingine zikiendelea.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.