• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASAJILI WA ANWANI ZA MKAZI WAASWA KUWA WAZALENDO KATIKA KUTEKELEZA ZOEZI HILO.

Posted on: March 16th, 2022

Vijana 300 wa ajira za muda za usajili wa anwani za makazi na wenyeviti wa mitaa 53 leo tarehe 16.03.2022 wamepatiwa mafunzo ya usajili/uandikishaji anwani za makazi na kuaswa kutanguliza uzalendo mbele katika utekelezaji wa zoezi hilo.

Akifungua mafunzo hayo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe alisema wananchi na hasa watekelezaji wa zoezi hili kwa pamoja wanapaswa kuonesha uzalendo ili kuweza kufanikisha zozi la usajili anwani za makazi katika muda mfupi na kwa ufanisi mkubwa.

Aidha amesema kwa kuzingatia  maelekezo / maagizo ya serikali kila mtaa utawajibika kuweka nguzo na kibao cha kuutambulisha mtaa wao. Pamoja nayo  amewataka pia wale wote waliopewa majina ya mtaa kuonesha uzalendo kwa kujitoa kugharamia kibao cha mtaa chenye jina lake.

“ uzalendo ni pamoja na kuchangia gharama kama hizo za uwekaji nguzo na vibao lakini kubwa zaidi ni kujitoa kufanikisha zoezi hili, tuwe wazalendo ndugu zangu kwa ajili ya manispaa yetu”, alisisitiza Jeshi

Aliendelea kusema ni vyema viongozi katika ngazi zote kushirikiana kwa kuwa na nia na lengo moja ili kufanikisha zoezi hili na kwamba kwa mshikamano huo ni dhahiri Manispaa ya Singida itaongoza kwa kazi nzuri yenye ufanisi mkubwa.

Manispaa ya Singida inatarajia kusajili majengo yanayokadiriwa kufikia idadi ya 49,000 na nguzo / vibao 7,000 vinatarajiwa kusimikwa katika mitaa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO March 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 07, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA KATA 2021 November 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • BASHUNGWA AAGIZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA TATU KUANDAA TARATIBU ZA UENDESHAI KITENGO CHA MAAFISA HABARI

    May 14, 2022
  • RC: SINGIDA AAGIZA TAKUKURU KUSHIRIKIANA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUONDOA RUSHWA ZA AINA ZOTE KATIKA HALMASHAURI NA TAASISI ZA UMMA

    May 01, 2022
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA WAPEWA SIKU 2 KUHAKIKISHA VIBAO VYA ANWANI ZA TAASISI VINASIMIKWA

    April 27, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO: RC SINGIDA APIGA MARUFUKU VIFUNGASHIO VYA VITUNGUU VISIVYOTHIBITISHWA NA SERIKALI

    April 26, 2022
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.