• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATAALAMU WA LISHE WATAKIWA KUHAKIKISHA UTAPIAMLO UNAKWISHA KABISA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: May 6th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amewataka maafisa lishe na watendaji wa kata katika Manispaa ya Singida kuhakikisha changamoto za lishe zinazopelekea utapiamlo zinatatuliwa na kumaliza kabisa tatizo hilo katika Manispaa ya Singida.

Muragili ametoa agizo hilo katika kikao cha robo ya tatu cha Kamati ya lishe wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Singida na kuhudhuriwa na wataalamu wa Afya, watendaji wa kata, wajumbe wa kamati ya Usalama Wilaya pamoja na wakuu wa Idara na Vitengo ambao ni wajumbe katika kamati hiyo.

Amewataka watendaji hao kufanya ufuatiliaji wa karibu hasa kwa zile kaya zenye changamoto za lishe kabla ya tatizo hilo kufikia hatua mbaya ambayo ni utapiamlo mkali.

“familia zenye changamoto za lishe ama utapiamlo tunaishi nazo , tunazifahamu tuzifuatilie ili kuzitambua mapema ili kuwapatia huduma mapema, ameagiza Muragili.

Kwa upande mwingine Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo kwa maafisa lishe  la kuanzisha programu ya upimaji madini joto katika chumvi mashuleni na kwenye minada.

Amesema mfanyabiashara mnadani ambaye chimvi yake itabainika kukosa madini joto, bidhaa hiyo itaifishwe mpaka hapo atakapolipia na chumvi hiyo kuwekwa madini joto tayari kwa matumizi.

Mkuu wa wilaya Mhandisi Paskas Muragili pia amesisitiza kila shule kuwa na mpango wa utoaji wa chakula shuleni na kuongeza kuwa wataalamu wa lishe wahusike kushauri ubora wa chakula kinachotolewa ili kuhakikisha chakula hicho kina virutubisho vya kuimarisha mwili.

Naye Afisa Lishe wa Manispaa ya Singida Isaac Maseri, amesema kati ya kina mama 9092, ni kinamama 8,796  waliopatiwa vidonge vya kuongeza damu , lengo likiwa ni kuhakikisha mama anapojifungua anakuwa na damu ya kutosha pindi ili kuepuka kupoteza maisha kutokana na ufinyo wa damu.

Amesema pamoja na vidonge hivyo, elimu ya ya ulaji  vyakula vya kuongeza damu imeendelea kutolewa ili kuwawezesha kinamama wajawazito kuwa na damu ya kutosha ili kuondokana na tatizo la kupoteza damu nyingi wakati wa kujifungua.

Wakiunga mkono suala la elimu baadhi ya watendaji wa kata wamesema bado kuna haja ya elimu juu ya lishe bora kutolewa kwa jamii ili kuepukana na chanmaoto ya utapiamlo  lakini pia upungufu wa damu  hasa kwa kina mama wajawazito.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.