• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATENDAJI WAAGIZWA KUELIMISHA JAMII KATIKA MPANGO WA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO (M-MAMA)

Posted on: July 20th, 2023

Watendaji wa kata na watoa huduma za afya wameagizwa kushirikisha jamii kikamilifu katika mpango wa kuokoa maisha ya mama na mtoto ili kupunguza na kuondoa kabisa vifo vitokanavyo na uzazi.

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili ametoa agizo hilo jana tarehe 19, Julai 2023 katika kikao cha kamati ya lishe Wilaya cha robo ya nne 2022/2023 katika Manispaa ya Singida  kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida.

Mhandisi Muragili amehimiza kuhakikisha jamii, watoa huduma ya afya na wote walioainishwa katika mfumo wa M-MAMA wanapatiwa elimu ya kina ili kuwawezesha kutekeleza mpango huu kwa ufasaha “Ninaagiza elimu itolewe kwa jamii ikiwemo madereva waliopo katika mfumo wa M-MAMA ili washiriki kikamilifu katika kuokoa maisha ya mama na mtoto……”, amehimiza Muragili

M-MAMA ni mfumo ulioanzishwa rasmi na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan  kwa ajili ya usafirishaji wa dharula kwa wakina mama wajawazito na watoto wachanga ambao umesadia kuboresha huduma za Afya kwa mama na mtoto hasa waliopo mbali na vituo vya Afya kwa kurahisisha mawasiliano na uchukuzi baina ya muhusika na vituo vya Afya.

Pamoja na hayo Mkuu wa Wilaya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya lishe Wilaya ametoa msisitizo pia kuhusu swala la uchangiaji chakula shuleni na kutoa agizo kuwa kila shule ihakikishe inatoa walau mlo mmoja kwa wanafunzi kwa kutwa.

Aidha amewataka wazazi kushiriki kwa kuchangia utoaji wa huduma ya chakula shuleni na kwamba mzazi atakayeshindwa kufanya hivyo kufwatiliwa na kuhakikisha anashiriki kuchangia huduma hiyo..

“………wazazi washiriki kuchangia chakula cha wanafunzi shuleni asiyefanya hivyo afuatialiwe” ……..amesisitiza Mkuu wa Wilaya.

Mwenyekiti huyo wa kamati ya lishe ameendelea kusisitiza elimu juu ya lishe na kutoa wito kwa maafisa lishe kutoa elimu juu ya mlo kamili kwa kutumia vyakula vinavyopatika ndani ya jamii .

Muragili ametoa wito kwa watendaji wa kata kuhakikisha wanapata alama ya kijani katika kipengele cha lishe katika kadi alama ya lishe ‘score card’ na taarifa ya utekelezaji wake kutolewa katika kikao cha kamati lishe robo ya kwanza 2023/2024.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema upatikanaji wa alama ya kijani utawezekana kwa kuzingatia sheria ndogo za lishe, kuanzisha klabu za lishe ngazi za jamii na kuelimisha jamii kupeleka nafaka katika mashine maalum ili kuongezewa virutubisho. Mpaka sasa jumla ya mashine kumi zimefungwa katika kata nne ambazo ni Mitunduruni, Kindai, Misuna na Mandewa kutokana na uwepo wa wazalishaji na wafungashaji wakubwa wa unga katika kata hizo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.