• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI WATAKIWA KUTENDEA HAKI TAALUMA ZAO KWA UWAJIBIKAJI

Posted on: June 9th, 2022

Watumishi wa Serikali wametakiwa kutendea haki vyeti vyao vya taaluma kwa kuwajibika ipasavyo katika utumishi wao kwani nafasi walizonazo ni dhamana waliyopewa na Serikali.

Hayo yameelezwa na Mhe. Moses Ikaku, Diwani wa Kata ya Kisaki wakati akifungua kikao kazi cha watumishi wa Serikali katika kata ya Kisaki.  Kikao hiki ni mwendelezo wa vikao kazi vilivyoandaliwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida katika kuboresha utendaji kazi wa Watumishi wake.

Mhe. Ikaku alisema, mtumishi kuwa na cheti cha stashahada ama shahada hakitamsaidia kitu bila kuweka bidii zake mwenyewe katika kazi kwa kuwa mbunifu na kuongeza kuwa elimu mliyopata iwasaidie kuonesha tofauti kati ya watumishi na jamii ambayo haikubahatika kufikia elimu waliyonayowatumishi na kwamba  kwa elimu waliyopata wanaweza kubaini fursa zaidi za kuiletea maendeleo Jamii inayowategemea.

“lengo la mifano yangu ni kuwawezesha kujitambua na kujitofautisha na wanajamii ambao hawana elimu kama yenu kwani nyie mmeongezewa jicho la tatu la kuona fursa za maendeleo” alisema Ikaku.

Amewaasa watumishi na hasa walimu kujitafakari kwa kuangalia hadhi za vyeti vyao na utendaji kazi (status) endapo vinalingana na matokeo ya ufundishaji katika ufaulu wa wananfunzi (performance).

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Ndg. Kulanga Matia Kanyanga alisema ni wajibu wa watumishi kumsaidi Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuleta maendeleo na kutoa huduma bora kwa wananchi.

Amesema Mhe. Rais amewajali sana watumishi kwa kuboresha mishahara na kulipa madeni ya mapunjo ya mishahara hivyo ni wajibu wao sasa kuamka na kujituma kufanyakazi kwa bidi ili kuwa na matokeo chanya.

 Aidha amewataka watumishi katika ngazi ya kata kushirikiana katika kutekeleza majukumbu yao na kumpongeza Kaimu Mtendaji wa Kata ya Kisaki Ndg. John 

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGAJI UPIMAJI NA URASIMISHAJI WA MAENEO KWA NJIA SHIRIKISHI June 16, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 07, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA KATA 2021 November 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WANANCHI MANISPAA YA SINGIDA WAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI

    June 23, 2022
  • RC SINGIDA: SIMAMIENI VIZURI VYANZO VYA MAPATO ILI KUPUNGUZA HOJA ZA UKAGUZI

    June 15, 2022
  • WATUMISHI MANISPAA YA SINGIDA WAASWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

    June 14, 2022
  • WATUMISHI MANISPAA YA SINGIDA WAASWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOWEA

    June 14, 2022
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.