• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI BASHIRU AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KWA MFUGAJI MDOGO

Posted on: January 10th, 2026

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Januari 10, 2026, amefanya ziara ya kushtukiza kwa mfugaji mdogo wa mfano mkoani Singida, hatua iliyolenga kujifunza na kujionea kwa vitendo namna mfugaji huyo anavyoendesha shughuli zake za ufugaji.

Dkt. Bashiru alifika katika ziara hiyo akiwa ameambatana na viongozi wa Mkoa wa Singida pamoja na watendaji waandamizi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambapo alizungumza na mfugaji huyo na kujionea mbinu mbalimbali zinazotumika katika kuboresha uzalishaji.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Waziri Bashiru alisema Serikali inaendelea kuhimiza ufugaji wa kisasa na wenye tija kwa wafugaji wadogo, akisisitiza kuwa kujifunza kutoka kwa mifano halisi ya mafanikio ni njia mojawapo ya kuboresha sekta hiyo.

“Tunataka kuona wafugaji wadogo wanabadilika kutoka ufugaji wa jadi kwenda ufugaji wa kisasa unaozingatia tija, afya ya mifugo na masoko. Ndiyo maana tunakuja kujifunza moja kwa moja kwa wafugaji wanaofanya vizuri,” alisema.

Kwa upande wake, mfugaji huyo alimshukuru Waziri kwa ziara hiyo ya kushtukiza, akisema imempa hamasa na motisha ya kuongeza juhudi katika shughuli zake za ufugaji, huku akiomba kuendelea kupatiwa elimu na msaada wa kitaalamu kutoka kwa Serikali.

Viongozi wa mkoa huo walisema ziara hiyo ni chachu kwa wafugaji wengine kuiga mbinu bora za ufugaji na kuchangia kukuza uchumi wa wananchi wa Singida kupitia sekta ya mifugo.

Ziara ya Waziri Bashiru ni sehemu ya juhudi za Serikali katika kuimarisha sekta ya mifugo nchini kwa kuzingatia uzalishaji wenye tija, kipato kwa wafugaji na mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa taifa.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KATIBU NEC, CCM AUPONGEZA MKOA WA SINGIDA KWA USIMAMIZI BORA WA UJENZI WA SOKO LA VITUNGUU

    January 19, 2026
  • MADARASA MAWILI YA GPE TSP YAKAMILIKA

    January 16, 2026
  • RC DENDEGO ATAKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 100

    January 15, 2026
  • DC GONDWE AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI WILAYA YA SINGIDA

    January 13, 2026
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.