• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA MRADI WA UPANUZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOANI SINGIDA

Posted on: August 6th, 2022

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema leo tarehe 06 Agosti, 2022, kuwa Serikali itaendelea kuboresha na kutekeleza miradi mipya ya Maendeleo ikiwemo sekta ya afya, elimu, maji na miundombinu yenye tija kwa wananchi wa Tanzania.  

Waziri Mkuu amesema hayo, wakati anakagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa upanuzi wa hospitali ya rufaa mkoa wa Singida , unaotekelezwa kwenye kata ya Mandewa, katika Manispaa ya Singida, na akaeleza kuridhishwa na utekelezaji wake.

Mradi huo unaohusisha ujenzi wa ghorofa tatu, ikiwemo sehemu ya wagonjwa wa dharuala, UVIKO-19, wagonjwa mahututi (ICU) na nyumba za mtumishi, ambavyo kwa pamoja unagharimu shilingi Bilioni 19.5

Moja ya sehemu ya jengo hilo la ghorofa tatu, litawezesha huduma za mama na mtoto,  upasuaji mkubwa na mdogo, kwa pamoja likiwa na uwezo wa kulaza wagonjwa  400, kwa mara moja.

Kutokana na mradi huo, Waziri Mkuu amepongeza usimamizi Madhubuti wa ujenzi unaofanyika na akazitaka mamlaka husika kuhakikisha zinashirikisha jamii katika hatua zote muhimu, za utekelezaji.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba, amesema kuwa, makubaliano baina ya chama na wananchi wa Mkoa wa Singida kwa kipindi cha miaka mitano, ni kuhakikisha Serikali inatatua kero mbalimbali za wananchi, ikiwemo kero za afya, maji, elimu na barabara.

“CCM imeridhishwa na kazi nzuri ya usimamizi wa Mradi huu mkubwa wa afya, hivyo nawaomba wananchi waendelee kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan”, alisema Kilimba.

Aidha Mwenyekiti huyo alimhakikishia Waziri Mkuu kuwa CCM Mkoa wa Singida inayo mahusiano na ushirikiano imara baina yake na watumishi wa Umma na kupelekea  mafanikio katika utekelezaji na usimamizi shirikishi wa miradi ya Maendeleo.

Kwa upande wake Mbunge wa Singida Mjini, Mussa Sima, amemwomba Waziri Mkuu  kuipatia Halmashauri ya Manispaa ya Singida fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Utemini baada ya majengo ya shule hiyo kuathiriwa na wa nyufa kubwa zinazohatarisha maisha ya wanafunzi na walimu.

Amesema, kutokana na tatizo hilo, wanafunzi zaidi ya 700, wamelazimika kuhamia kwenye shule jirani hali inayozorotesha maendeleo ya wanafunzi na ugumu wa kufanya kazi kwa walimu wao.

Akijibu ombi hilo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahidi kuwasiliana na Wizara husika (TAMISEMI), ili kulitafutia ufumbuzi wa haraka.

Hata hivyo amesema kuwa, hivi sasa Serikali inaendelea na ukarabati wa shule  kongwe nchini, ikiwemo sekondari ya Mwenge iliyopo Manispaa Singida, Tumaini na Chuo cha Ualimu Kinampanda  kutokana na uchakavu wa Miundombinu ya Taasisi hizo.

    

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.