• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI MKUU: MA-RC, MA-DC HAKIKISHENI MIRADI YA MAENDELEO INAKAMILIKA

Posted on: July 22nd, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo katika maeneo yao ili kuhakikisha inakamilishwa ipasavyo na hivyo kuweza kutoa huduma kwa wananchi. Ametoa wito huu wakati akizungumza na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mikutano kadhaa ya video conference.


Waziri Mkuu amesisitiza umuhimu wa Wakuu wa Mikoa kuwasiliana mara kwa mara na Halmashauri zao ili kupata taarifa sahihi za utekelezaji wa miradi. Amewasisitiza kukagua ni miradi gani imepata fedha, ikiwa imekamilika au la, pamoja na sababu zinazosababisha kutokukamilika kwake. Aidha, aliwahimiza Wakuu hao kutumia benki ya utekelezaji ili kuweza kutathmini vyema utekelezaji wa miradi yote tangu mwaka 2021.


Aidha, alisisitiza umuhimu wa kukamilisha asilimia 90 ya miradi hiyo ifikapo Desemba mwaka 2024 ili ianze kutumika mapema. Alielezea matumizi ya miradi hiyo kuwa ndio faraja ya wananchi na ndio matamanio yao.


Mbali na suala la maendeleo kupitia miradi, Waziri Mkuu aliwahimiza viongozi hao kufuatilia uzalishaji wa chakula nchini Tanzania. Aliwataka wahakikishe kwamba nchi inakuwa na ziada ya chakula cha kutosha. Aliwashauri pia kwamba ni muhimu kuunda sensa za mazao yanayohifadhiwa katika maghala ili kupata takwimu sahihi juu ya upatikanaji wake.


Kuhusu mapato ya Serikali katika ngazi za Halmashauri na Manispaa, Waziri Mkuu alisisitiza kwamba makusanyo yote yanapaswa kuwasilishwa benki kabla hayajatumika. Alitoa wito kuhusu usimamizi thabiti ufanyike katika mtiririko mzima wa fedha ndani ya serikali za mitaa.

“Hata kama ni fedha za msaada kutoka kwenye taasisi au asasi zisiso za Kiserikali, ni lazima DC ajue ili atoe taarifa kwa RC. Ma-RC wasimamie mtiririko wa fedha kwenye Halmashauri.”

@owm_tz @kassim_m_majaliwa @ortamisemi @mohamed_mchengerwa @singidars @halimadendego @ggondwe @naima_chondo @ykiaratu2 @jeshilupembe8

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.