• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WIZARA YA FEDHA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WANANCHI WA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: May 24th, 2024

KATIKA kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo bora hasa kiuchumi, Wizara ya Fedha imetoa elimu ya fedha kwa wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Wizara ya Fedha kwa sasa inatekeleza mpango wake wa miaka mitano wakutoa elimu ya fedha kwa umma na malengo ni kuona wananchi wanapata uelewe wa matumizi bora ya huduma za fedha lengo likiwa ni kujiendeleza kiuchumi.


Mafunzo hayo yametolewa leo, Mei 24, 2024, katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi, Manispaa ya Singida na mafunzo hayo yalihudhuriwa na makundi tofauti ya wananchi wajarisiamali, wanavikundi, vijana na wananchi wengine.
Salim Kimaro ambaye Afisa Usimamizi Fedha kutoka Wizara ya Afya alitoa mafunzo ya elimu kwa wananchi wa Manispaa ya Singida.


Kimaro alisema mpango wa Wizara ya Fedha katika utoaji wa elimu ni kuwafikia wananchi wa hali zote ilikuhakikisha wanafanikiwa kujikwamua kiuchumi.


Utoaji huu wa elimu ya fedha umetokana na uwepo wa changamoto nyingi za wananchi kama kuingia kwenye mikopo bila uelewe wengi wamekuwa hawajui ni wapi waweze kuwekeza fedha zao au watatumiaje fedha zao mara baada ya kustaafu.


“Changamoto nyingi, wananchi hawana uelewa wa kutosha kuhusu masuala ya fedha na hivyo kusababisha kupata changamoto nyingi ikiwemo kuomba mikopo kupitia taasisi zisizo rasmi ambazo wanaposhindwa kulipa mikopo husika taasisi hizo hutaifisha mali zao na wengi hawajui namna ya kutumia fedha zao pindi wanapostafuu au kama wakulima wanapouza mazao yao wanashindwa namna ya kuhifadhi fedha hizo’’.

Kimario amesema hilo ndiyo lengo kubwa la utoaji wa elimu ya fedha kwa jamii kuona kuna kuwa na jamii salama ambayo ina uwezo wa kutumia fedha na kujikwamua kiuchumi na kufikia malengo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.