• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ziara ya kamati ya siasa ya Mkoa - Singida

Posted on: August 19th, 2021

KAMATI YA SIASA YA MKOA SINGIDA YAFANYA ZIARA KATIKA MIRADI MBALIMBALI KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Ndg. Juma Kilimba pamoja na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa jana imefanya ziara katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida ili kujionea utekelezaji wa Ilani ya ya chama cha mapinduzi kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa.

Kamati ya Siasa Mkoa Pamoja na timu ya sekretarieti ya Mkoa ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Singida walitembelea Miradi mbalimbali ikiwa ni Pamoja na miradi ya Afya, Maji, na Elimu.

Miradi iliyotembelewa ni Jengo la mama na Mtoto zahanati ya Mwankoko ambalo liko katika hatua ya Ukamilishaji, Ukamilishaji wa vyumba vya maabara Shule ya sekondari Mtipa, Ujenzi wa vyumba 03 vya madarasa na matundu 07 ya vyoo shule ya Msingi Unyambwa, Uboreshaji wa huduma za maji kata ya Mungumaji, Ujenzi wa vyumba 02 vya madarasa shule ya sekondari Mwenge na Ukarabati wa daraja na barabara ya Majengo- Unyamikumbi.



Mradi wa jengo la mama na Mtoto katika Zahanati ya Mwankoko ukiwa katika Hatua za Ukamilishaji. Jengo hili linakamilishwa kwa nguvu za wananchi kwa kazi ya upauzi, serikali kuu imechangia kiasi cha Tshs. 61,000,000/- Fedha za Mfuko wa Jimbo kiasi cha Tshs. 2,000,000/-, Harambee katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Tshs. 1,000,000/- na wadau mbalimbali waliochangia vifaa kama saruji mifuko 40, mbao 114 na misumari ya bati kilo 70 na kufanya jumla ya mapato yote kuwa 64,000,000. Kiasi kitatakachotumika hadi kukamilika kwa jengo ni Tshs. 39,143,000. Aidha kiasi kilichobaki  Tshs. 24, 857,000/- kimeombwa kuanzisha ujenzi wa nyumba ya mganga


Huduma ya Maji safi na Salama ni moja ya vipaumbele katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida. Pichani ni Kisima cha Maji katika Kata ya Mungumaji kilichojengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Salama ( SUASA)

Katika kuondoa kadhia ya usafiri kutokana na ubovu wa Barabara TARURA imeweza kujenga daraja na kukarabati barabara  ya Majengo – Unaymikumbi yenye urefu wa Km. kwa gharama ya Tshs. 159,000,000/- katika Manispaa ya Singida


Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Mkoa Ndg. Juma Kilimba ( Kulia), Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida Mhe. Yagi Kiaratu ( Kushoto) na wajumbe wengine wakikagua miundombinu ya maabara  Shule ya Sekondari Mtipa.



Ukamilishaji wa vyumba 02 vya maabara katika Shule ya Sekondari Mtipa umegharimu kiasi cha Tshs. 30,000,000/- fedha hizo zimetolewa na Serikali kuu.

Picha ikionesha mwonekano wan je wa jengo la Maabara

Shule ya sekondari Mwenge ni miongoni mwa shule Kongwe hapa nchiniambazo Serikali imeendelea kuboresha miundombinu yake hasa vyumva vya madarasa. Kiasi cha Tshs. 40,000,000/- kilipokelewa kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa ujenzi wa vyumba 02 vya madarasa katika jitihada za kupunguza msongamano wa wanafunzi shuleni hapo.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KONGOLE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    May 31, 2025
  • Meya atoa onyo kwa wasiotunza mazingira Manispaa ya Singida

    May 31, 2025
  • MKURUGENZI WA MANISPAA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MKOA WA SINGIDA

    May 30, 2025
  • WANANCHI 35 WAFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO SINGIDA

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.