• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA SINGIDA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KUPITIA FEDHA ZA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO – 19

Posted on: November 30th, 2021

Mhe. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Bi. Yagi Kiaratu amekagua miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa Kupitia fedha za uviko-19, pamoja na ukaguzi huo Mstahiki Meya amezungumza na wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya kata ( WDC ) kuwataka washirikiane na walimu wakuu na kamati za ujenzi mashuleni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati na inakidhi viwango vilivyowekwa. Mstahiki Meya aliendelea kwa kutoa elimu juu ya uuandaaji wa mpango na bajeti akiwasisitiza wajumbe kuwahusisha wananchi katika kuibua vipaumbele vya maendeleo kuanzia ngazi ya mitaa/Vijiji, kata hadi kufika ngazi ya juu. Pia Mhe. Mstahiki Meya aliwaomba wajumbe waendelee kuwahamasisha wananchi kupata chanjo ya uviko -19 kwani chanjo hiyo ni salama lakini itasaidia sana hasa wakati huu wa wimbi la nne la uviko-19 ambalo halionyeshi dalili tulizozizoea na linaua kwa haraka zaidi.  Pamoja na hayo aliwataka wajumbe waendelee kuwahamasisha wananchi wajiunge na bima ya afya iliyoboreshwa (iCHF) ambayo itawarahisishia kupata matibabu kwa gharama nafuu wakati wowote watakapokuwa wanaumwa.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SINGIDA KUFANYIKA NOVEMBA 13-14, 2023 November 10, 2023
  • HATUA ZA KUPATA LESENI YA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI November 01, 2023
  • RAIS SAMIA AWATAKA WANANCHI KUJIELEKEZA KWENYE FURSA October 16, 2023
  • HUDUMA YA MATIBABU YA MACHO HOSPITALI YA MANISPAA YA SINGIDA October 31, 2023
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • ASILIA YA UFAULU DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA WAONGEZEKA

    December 01, 2023
  • IPOSA KUONDOA UNYANYAPAA KWA VIJANA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA MKOANI SINGIDA

    November 28, 2023
  • UTUMISHI WATOA MAFUNZO YENYE KULENGA UTENDAJI BORA WA KAZI

    November 24, 2023
  • Maafisa Tarafa,Watendaji watakiwa kutojisahau

    November 23, 2023
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.