• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UBORESHAJI WA KITUO CHA AFYA CHA SOKOINE

Start Date: 2017-11-22
End Date: 2018-01-31

MRADI WA UKARABATI, UPANUZI NA UJENZI WA KITUO CHA AFYA SOKOINE

Katika kuimarisha huduma za Afya Hususan kwa Akinamama Wajawazito na Watoto ,Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo wameipatia halmshauri jumla ya Tsh500,000,000 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ukarabati, upanuzi wa kituo [ kimoja ] ili kiweze kutoa huduma ya dharura za upasuaji kwa Akinamama Wajawazito. Vituo ambayo vinatekeleza mradi huu katika halmashauri ni [1]Hadi kufikia tarehe 31 May 2018 kati ya Tsh 500,000,000= iliyopokelewa katika Halmashauri Jumla ya Tsh 497,850,777  kimeshatumika katika ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika vituo hivyo [1]

Serikali kupitia OR- TAMISEMI imeelekeza miradi hii ya ujenzi itekelezwe kwa kutumia Force Account kwa ajili yakupunguza gharama na kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na kutengeneza ajira kwa wananchi wa maeneo husika.

Hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa kila Kituo

Kituo cha sokoine

DONDOO ZA MRADI (GENERAL PROJECT DATA):-

Gharama ya Mradi
500,000,000
Muda wa kutekeleza mradi
31 January 2018
Mshitiri
Ubalozi wa canada
Tarehe ya kuanza mradi
22 Nov 2017
Tarehe ya kukamilisha mradi
31 Jan 2018
Muda uliokwishapita
Mwezi mmoja
Muda wanyongeza
Mwezi mmoja
Tarehe ya kukamilisha baada ya nyongeza ya muda
Mwezi mmoja
Mshauri mwelekezi
Mhandisi wa Manispaa
Mkandarasi/ Wakandarasi
Local fundi

Halmashauri ya manispaa ya Singida imepokea jumla ya Tsh 500,000,000/= kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Sokoine ili kiweze kutoa huduma ya upasuaji wa dharura kwa Akinamamawajawazito. Hadi kufikia tarehe 31 May 2018 kiasi cha Tsh 497,850,777= kimeshatumika katika ujenzi wa miundombinu mbalimbali.

Katika Kituo cha Afya Sokoine majengo yamefikia katika hatua mbalimbali  kama inavyooneshwa hapa chini;

 

Chumba cha upasuaji

Ujenzi upo katika hatua ya umaliziaji; imebakia shughuli za  ujenzi wa sinki [sluice] na kuunganisha umeme na mashine ya kupandisha maji kwenye tenki la juu [elevated tank]. Ujenzi umefikia asilimia[  98%]

 

Nyumba ya mtumishi

Ujenzi umekamilika.  [100%]

Wadi ya kina mama wajawazito

Ujenzi umekamilika  [100%]

 

Jengo la maabara

Ujenzi umekamilika [100%]

Jengo la kufulia [laundry]

Ujenzi umekamilika. [100%]

Jengo la kuhifadhi maiti

Ujenzi umekamilika. [100%]

 

Ujenzi wa corridor

Ujenzi wa sehemu ya kutembelea upo katika hatua za mwanzo ,zege ya chini ya kutembelea imeshajengwa, ujenzi unaendelea. [30%]

 

 

Ujenzi wa kichomea taka

Ujenzi umekamilika [100%]

 

 


Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 - HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA December 23, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 17, 2018
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA January 24, 2019
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MKUU wa Mkoa wa Singida,Dkt Rehema Nchimbi (aliyefunga kilemba kichwani) akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa vitanda na madawati kwa uongozi wa shule ya sekondari ya New Kiomboi.

    June 21, 2020
  • DKT. REHEMA NCHIMBI, AZINDUA RASMI HUDUMA ZA CHF ILIYOBORESHWA, MKOANI SINGIDA

    April 11, 2019
  • MKOA WA SINGIDA WAANZA KUCHUKUA HATUA KATIKA KUKABILIANA NA HALI DUNI YA LISHE KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO

    November 14, 2018
  • DIWANI WA MANISPAA YA SINGIDA AFARIKI DUNIA

    May 22, 2018
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.