• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Elimu Msingi


Idara ya Elimu Msingi na Awali katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida inajumuisha  Elimu ya Awali,Msingi na Elimu nje ya mfumo rasmi. Zipo Shule 71 Zikiwepo  53 za Serikali, 13 Binafsi na 5 Awali pekee. Jumla ya wanafunzi wa Elimu ya Awali ni 7,096 wakiwepo wanafunzi 6,257 wa shule za serikali na 829 wanaosoma shule binafsi. Katika shule za msingi darasa la I – VII kuna  Jumla ya wanafunzi 45,308 wakiwepo wanafunzi 42,244 wa shule za serikali  na wanafunzi 3,064 wa shule binafsi.

Taarifa hii inaelezea maendeleo ya sekta ya elimu kwa elimu ya Msingi 

  • ELIMU YA MSINGI NA AWALI.
  1. UTANGULIZI.

Katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida kuna Shule 71 zikiwemo   53 za serikali,13 Binafsi na awali pekee 5.. Jumla ya wanafunzi wa elimu ya awali ni 7,096 wakiwepo wanafunzi 6,257 wa shule za serikali na 829 wanaosoma shule binafsi. Katika shule za msingi darasa la I – VII kuna  Jumla ya wanafunzi 45,308 wakiwepo wanafunzi 42,244 wa shule za serikali  na wanafunzi 3,064 wa shule binafsi.

  1.  MAOTEO NA UANDIKISHAJI DARASA LA I NA ELIMU YA AWALI MWAKA 2022

MAELEZO

 WASIO WA MAHITAJI MAALUM

 WENYE MAHITAJI MAALUM

JUMLA 

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

Elimu ya awali (maoteo)

991

947

1938

0

0

0

991

947

1938

Elimu ya awali (uandikishaji)

770

740

1510

0

0

0

770

740

1510

Asilimia ya uandikishaji

68

72

75

0

0

0

68

72

75

Darasa  la kwanza(maoteo)

2,371

2,252

4,623

4

2

6

2,375

2,254

4,629

Darasa  la kwanza (uandikishaji)

1938

1945

3883

2

2

4

1940

1947

3887

Asilimia ya uandikishaji

54

59

56

50

100

66

54

59

56

SUMMARY:Awali Maoteo 1938 Walioandikishwa 2194 sawa na 113.21%

Darasa la kwanza Maoteo 4623 Uandikishaji 4763 sawa na 103.02%

  1. Fedha za Elimu Msingi bila malipo.Manispaa ya Singida   imeendelea kunufaika na mpango wa  Serikali wa Elimu msingi Bila Malipo. Kwa mwaka 2021/22 kuanzia mwezi Julai  hadi Juni 2022.  Jumla ya Tshs 504,950,670.99 Zikiwemo fedha kwa ajili ya uendeshaji wa shule za msingi (Capitation Grant) Tshs.272,113,817.74 Posho ya madaraka kwa Maafisa Elimu Kata.Tshs.54,000,000.00 Posho ya Madaraka kwa Walimu Wakuu 115,200,000.00 na Fedha kwa ajili ya Elimu maalumu yaaani Chakula.Tshs.63,636,853.39 ambazo zimetumwa moja kwa moja katika akaunti za Shule.
  2. UANDIKISHAJI WA MADARASA YA MITIHANI TARAJIWA MWAKA 2022

DARASA IV

DARASA VII

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

3518

3523

7041

2797

2955

5752

 

 

MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2018, 2019, 2020 NA 2021

 

Manispaa ya singida imeendela kuboresha kiwango cha ufaulu kwa wahitimu wa elimu ya msingi kwa miaka mitatu mfululizo. Mwaka 2018 Asilimia ya ufaulu 81.9 mwaka   2019 asilimia ya ufaulu ilikuwa 83.6, mwaka 2020 asilimia 84.8 na mwaka 2021 asilimia 89.3 Jedwali lifuatalo linafafanua.

 

 Matokeo ya Mtihani wa darasa la vii


WALIOSAJILIWA
WALIOFANYA
% YA WALIOANDI
KISHWA
WALIOFAULU
% YA UFAULU
WASTANI WA UFAULU
MWAKA

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML


 

2021

2178

2382

4560

2122

2354

4476

98.2

1903

2095

3998

89.3

165.4

2020

1997

2267

4264

1973

2244

4217

98.9

1654

1920

3574

84.8

134.5

2019

1853

2234

4087

1809

2204

4013

98.1

1504

1852

3356

83.6

128.87

6. MIUNDOMBINU- MADARASA, MATUNDU YA VYOO NA MADAWATI

NA
AINA YA MIUNDOMBINU
MAHITAJI
ILIYOPO
UPUNGUFU
1
Madarasa(Shule za msingi)

1081

519

562

2
Matundu ya vyoo vya wasichana    (Shule za msingi)

798

420

370

3
Matundu ya vyoo vya wavulana  (Shule za msingi)

684

418

226

4
Madawati(shule za msingi)

15,961

11,592

             4,369

7. IKAMA YA WALIMU

Mahitaji ya walimu wa shule za msingi   kwa Manispaa ya Singida ni 1,077 kwa uwiano wa 1:60. Kwa sasa kuna walimu 754 na kati yao 28 wanafanya kazi za utawala  wakiwepo  maafisaelimu kata na maafisaelimu ngazi ya Halmashauri. Hivyo kuna upungufu wa walimu 351.

 

Idadi ya wanafunzi
Mahitaji ya walimu
Walimu waliopo
Upungufu
48,472
989
743
144

 

8. TAARIFA YA MIRADI YA MAENDELEO 

A: MIRADI YA UVIKO - 19

Halmashauri ilipokea jumla ya Tshs 160,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa  vya shule 4 shikizi . Ujenzi wa madarasa hayo kwa sasa  yamekamilika.

Kata
Jina la mradi
Kiasi cha fedha
Hatua ya utekelezaji
Asilimia %
Mtipa
Ujenzi wa madarasa mawili (2) shule shikizi Mwembemoja.
40,000,000
Umekamilika
100
Mwankoko
Ujenzi wa madarasa mawili (2) shule   shikizi Mwachichi.
40,000,000
Umekamilika
100
Ujenzi wa madarasa mawili (2) shule  shikizi ya Nkuhi
40,000,000
Umekamilika
100
Unyamikumbi
Ujenzi wa madarasa mawili (2) shule   shikizi Sundu
40,000,000
Umekamilika
100
Jumla
160,000,000
 
 

B. Miradi ya EP4R, SWASH NA LANES MWAKA 2021/22

KATA
JINA LA MRADI
ENEO MRADI 
CHANZO CHA FEDHA
KIASI POKELEWA
MATUMIZI
HATUA ILIYOFIKIWA
Mtipa
Ujenzi wa matundu sita ya vyoo
Shule ya Msingi Mtipa
EP4R

6,600,000

6,600,000

Mradi umekamilika.
Mtipa
Ujenzi wa mundombinu ya kuvunia maji ya mvua
Shule ya Msingi Manga
SWASH

11,872,379.85

11,872,379.85

Mradi umekamilika
Mtipa
Ujenzi wa vyumba viwili madarasa
Shule ya Msingi Manga
Lanes

 40,000,000

40,000,000

Mradi umekamilika
Minga
Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo
Shule ya Msingi Minga
EP4R

6,600,000

6,600,000

Mradi umekamilika
Unyambwa
Ujenzi wa mundombinu yakuvunia maji ya mvua
Shule ya Msingi Ipungi
SWASH
     11,872,379.85

11,872,379.85          

Mradi umekamilika
Mughanga
Ujenzi wa matundu  6 ya vyoo
Shule ya Msingi Nyerere
EP4R

6,600,000

 6,600,000           

Mradi umekamilika
Majengo
Ujenzi wa vyumba viwili madarasa
Shule ya Msingi Ukombozi
Lanes

40,000,000

40,000,000

Mradi umekamilika

Jumla


123,544,759.7

123,544,759.7


 

C. MIRADI  YA EP4R  AWAMU YA 9

KATA

JINA LA MRADI

CHANZO 

FEDHA TOLEWA

MAELEZO

MANGUANJUKI
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 12 ya vyoo  Shule ya Msingi Manguanjuki
  • EP4R

53,200,000

Mradi umekamilika
MINGA
Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa Shule ya Msingi  Minga
  • EP4R
  • 40,000,000
  • Mradi umekamilika
MISUNA
Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa Shule ya  Msingi Misuna
  • EP4R
  • 40,000,000
Mradi umekamilika
MTIPA
Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa Shule ya Msingi Mtipa
  • EP4R
  • 40,000,000
Mradi umekamilika
Ujenzi wa matundu  12 ya vyoo Shule ya Msingi Manga
  • EP4R
  • 13,200,000
Mradi umekamilika
MUGHANGA
Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa Shule ya Msingi Nyerere
  • EP4R
  • 40,000,000
Mradi umekamilika
UNYAMBWA
Ujenzi wa matundu  12 ya vyoo Shule ya Msingi Ipungi
  • EP4R
  • 13,200,000
Mradi umekamilika
UNYAMIKUMBI
Ujenzi wa matundu  12 ya vyoo Shule ya Msingi Ughaugha
  • EP4R
  • 13,200,000
Mradi umekamilika
 
Jumla
  •  
  • 252,800,000
 

KATA

JINA LA MRADI

CHANZO 

FEDHA TOLEWA

MAELEZO


UNYAMIKUMBI

Ukamilishaji ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa Shule ya Msingi Sundu

Serikali kuu

25,000,000/=

Ujenzi umekamilika


UNYAMIKUMBI

Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Kihade

Serikali kuu

12,500,000/=

Ujenzi umekamilika



Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Ng’aida

Serikali kuu

12,500,000/=

Ujenzi umekamilika



Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Unyianga

Serikali kuu

12,500,000/=

Ujenzi umekamilika



Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi kititimo

Serikali kuu

12,500,000/=

Ujenzi umekamilika



Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Unyamikumbi

Serikali kuu

12,500,000/=

Ujenzi umekamilika

Ujenzi umekamilika


Ukamilishaji ujenzi wa chumba 1  cha darasa Shule ya Msingi Mtipa(Mwaghumpi)

Serikali kuu

12,5000,000/=

Ujenzi umekamilika


9. Wanafunzi wenye mahitaji maalum 

NA
JINA LA SHULE

AINA YA ULEMAVU

WANAFUNZI WALEMAVU

1
Tumaini viziwi
Viziwi

41

32

73

2
Unyankindi
Ulemavu wa akili

16

15

31

3
Ipembe
Ulemavu wa akili na uoni hafifu

23

28

51

4
Somoku
Ulemavu wa akili

7

12

19


JUMLA

87

87

174

 

Changamoto:

 Watoto wenye mahitaji maalumu ambao wanaishi mbali  na shule wanapata ugumu kusafiri kwenda shuleni.

5. Elimu ya Watu Wazima (Elimu Nje ya Mfumo Rasmi)

Halmashauri  ya Manispaa ya  Singida ina jumla ya vituo 53 vya MUKEJA na Kisomo chenye manufaa ambavyo vina wanakisomo 543 wakiwemo ME: 223 na KE: 320. Aidha kuna kituo kimoja cha Ufundi Stadi kilichopo shule ya msingi Kititimo ambacho kwa sasa hakuna wanafunzi kutokana na wanafunzi kutojiunga,uhamasishajie unaendelea ili wanafunzi wajiunge. Katika  chuo cha maendeleo ya wananchi (FDC) kuna programa maalum ya kuendeleza wanawake vijana  ikiwa na washiriki 54. Hawa ni wale walioshindwa kukamilisha  masomo ya shule za sekondari kwa sababu mbalimbali.

Watoto 133 wakiwemo wavulana 67 na wasichana 66 wenye umri wa kuwa shuleni ambao hawakuwa shuleni wameendelea kupata mafunzo katika vituo 9 vya MEMKWA vilivyopo katika shule za Ukombozi, Kindai,  Somoku, Uhamaka, Mtamaa, Unyianga, Mwankoko, Ititi na Singidani. Kituo kimoja cha Unyakumi kwa sasa hakina wanafunzi  wa MEMKWA baada ya wanafunzi waliokuwepo  kujiunga na mfumo rasmi wa Elimu ya msingi.

Changamoto katika elimu nje ya mfumo rasmi  ni walimu wa MEMKWA na wawezeshaji wa EWW kutolipwa  fedha ya motisha (honoraria) kwa miaka zaidi ya mitatu mfululizo. Tumeendelea kuomba fedha hizo  kutoka OR-TAMISEMI.

9. CHANGAMOTO

  • Upungufu mkubwa wa walimu
  • Upungufu wa vyumba vya madarasa

Shule  5  za msingi (Manguampyughu,Mwembemoja,Sundu,Mnung’una na Mughenyi .

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.