• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC SINGIDA ATAHADHARIDHA MMOMONYOKO WA MAADILI

Posted on: March 2nd, 2022


Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili amewaomba waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida kushirikiana na Viongozi katika kata na mitaa katika kuelimisha masuala ya uadilifu na kuwalinda Watoto dhidi ya changamoto za mmomonyoko wa maadali katika Manispaa ya singida.

Mhandisi Muragili aliyasema hayo katika mkutano wa baraza la madiwani  wa robo ya pili kwa Mwaka wa fedha 2021/2022  lililofanyika katika ukumbi wa Mwenge Sekondari, na kusema vitendo vya utovu wa maadilli ni muhimu vidhibitiwe kwani wanaoumia ni Watoto wetu.

“nimepokea taarifa ya vitendo viovu vya kuwalawiti Watoto wetu wa kiume, kama mzazi nimeumia sana. Nawaomba waheshimiwa mshirikiane na Viongozi katika kata kutoa elimu kwa Jamii na kuwalinda Watoto hawa”, alisema.

Aidha aliendelea kusema sambamba na vitendo hivyo viovu , Manispaa ya Singida kwa sasa imekuwa na wimbi kubwa la Watoto wanaoishi mitaani na kulala katika baraza za maduka , hivyo kuitaka idara ya ustawi wa Jamii kuwabaini na kwa kushirikiana na uongozi wa kata watafutwe wazazi au ndugu wa Watoto hao waweze kurudi nyumbani na kulelewa na familia

“waheshimiwa Watoto hawa wanajulikana makwao, idara ya ustawi wa Jamii itusaidie kuwabaini  na kwa kushirikiana na uongozi wa kata Waheshimiwa mkiwemo warudishwe kwa wazazi wao”, alisisitiza Mkuu wa Wilaya.

Akifunga Mkutano wa Baraza la Madiwani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Mhe. Yagi Kiaratu alisema ni wakati sasa wa kuondokana na dhana ya kuwa mtoto ni wa mzazi mmoja bali ieleweke mtoto sio wa mzazi mmoja bali wa taifa hivyo ni jukumu la Jamii nzima kumlinda ili aweze kufikia ndoto zake.

Aliwataka waheshimiwa madiwani kushirikiana na uongozi wa kata na mitaa kuhakikisha wale waliofaulu kwenda sekondari  Mwaka 2022 wana ripoti shule na taarifa zao zitolewa ili iwe rahisi kufanya ufuatiliaji kwa wale ambao hawajaripoti shule.

Aidha Mhe. Yagi alimwagiza Mkurugenzi kupitia kwa Afisa elimu sekondari kuandaa taarifa ya wanafunzi walioripoti  na wale ambao hawajaripo na kuiwasilisha ili kuweka mkakati wa kuwabaini wale ambao hawajaripoti.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.