• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Dkt. Dugange Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza Kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: August 4th, 2024

Dkt. Dugange Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza Kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa


Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa un. Dkt. Dugange alisisitiza kuwa viongozi hawa ni nguzo muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Serikali, kwani wanamsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwenye maeneo yao.


Akizungumza leo Agosti 4, 2024 katika banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) yanayoendelea Viwanja vya Nzuguni, Dodoma, Dkt. Dugange alisema, "Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi bora watakaosaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Hawa ndio wanaokutana na changamoto za wananchi moja kwa moja, hivyo ni muhimu kuwachagua viongozi wenye uwezo na uadilifu."


Dkt. Dugange aliongeza kuwa, kwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi watakaochaguliwa, viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wanapaswa kutumia Chuo cha Serikali za Mitaa kwa ajili ya kutoa mafunzo. "Ni muhimu kuhakikisha kuwa viongozi wetu wanapata mafunzo ya kutosha ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo. Hii itawawezesha kutatua changamoto za wananchi na kusaidia kuleta maendeleo ya haraka na endelevu," alieleza Dkt. Dugange.


Kauli hiyo imekuja wakati wa maonesho ya Nanenane ambayo ni sehemu muhimu ya kalenda ya kilimo na maonyesho hayo yakienda na kauli mbiu ya "Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Mifugo na Uvuvi".


Wananchi wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuwa ni haki yao ya kikatiba na njia muhimu ya kushiriki katika uongozi na uendeshaji wa Serikali.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.