• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI TENDAJI BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA SINGIDA YAJENGEWA UWEZO

Posted on: August 16th, 2022

Kamati Tendaji ya Baraza la Biashara la Wilaya ya Singida leo tarehe 16/08/2022 imejengewa uwezo ili kuweza kuendesha na kusimamia mabaraza ya biashara kwa tija na ufanisi na kuleta mabadiliko chanya katika utendaji kazi wa Baraza la wilaya.

Akifungua kikao hicho cha Kamati Tendaji ya Baraza la Biashara la Wilaya Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Ndg. Kulanga Matia Kanyanga amewataka wajumbe wa kikao hicho kuwa wasikivu na kuchukua mafunzo hayo kama chachu ya kuleta mabadiliko katika sekta ya biashara katika wilaya ya Singida.

“Niwasihi muwe wasikivu na mchukue mafunzo haya kama chachu ili kuleta mabadiliko ya kibiashara katika wilaya yetu …” amesema Kulanga

Akielezea lengo la mafunzo hayo Mratibu kutoka shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) Bw. Andrew Mhina amesema lengo ni kuimarisha mabara hayo na kuyapa nguvu ya kuweza kusimamia masuala ya uchumi, biashara, na kuendeleza sekta binafsi katika biashara.

Amesema uwezo unalengwa kujengwa kwa wajumbe wa Kamati Tendaji hiyo pamoja kuwawezesha kuandaa agenda shirikishi, uibuaji wa ajenda kwa ajili ya majadiliano na kuandaa mpango kwa ajili ya Kufuatilia maazimio yaliyotokana na majadiliano.

“baada ya mafunzo haya washiriki ambao ni wajumbe wa kati tendaji ya baraza la biashara la wilaya watakuwa na uwezo wa kuandaa ajenda, kuibua ajenda kwa ajili ya majadiliano na kuwa na mpango Madhubuti wa ufuatiliaji”, alisema Mhina.

Akiwasilisha mada kuhusiana na Mazingira ya biashara Mkufunzi wa mafunzo hayo Ndg. Swabiri Khalid kutoka IMED Consultant amesema uwepo wa Mazingira ya biashara yasiyorafiki huathiri mzunguko mzima wa biashara na hivyo kuathiri Mfumo mzima wa ukusanyaji mapato ya Halmashauri.

Amesema ni jukumu la Baraza la Biashara la Wilaya kuhakikisha panakuwepo na sheria rafiki kwa wawekezaji na wafanyabiasha kwa ujumla, Miundombinu wezeshi na ushiriki wa wananchi katika kutoa maoni ili kutengeneza sekta binafsi imara zitakazochangia katika ongezeko la mapato ya Halmashauri.

“Uwepo wa sheria rafiki kwa wawekeshaji kutachangia katika kuboresha upatikanaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri zetu” amesema.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.