• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANUFAA YA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA CHA MBOGA NA MATUNDA YAANZA KUONEKANA KWA VIJANA -MANISPAA YA SINGIDA.

Posted on: June 3rd, 2022


Kundi la Vijana 100 walipatiwa mafunzo ya kilimo cha mbogamboga na matunda katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameanza kunufaika na mafunzo hayo.

Mmoja kati ya Vijana sita wanaosimamia mazao yaliyopandwa katika shamba darasa hilo Emmaculatha Nkumbi amesema mazao wanayoendelea kuvuna na kuuza ambayo ni nyanya na mboga za majani ni matokeo ya mafunzo waliyopata kupitia Ofisi ya Wazairi Mkuu na kufundishwa na wakufunzi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA)

Amesema kutokanana na mafunzo hayo Vijana wengi na hasa wa kike wataondokana na utegemezi kwa wazazi kwa kuwa sasa wanauwezo wa kitaalam wa kuzalisha mazao na kuuza kwa faida.

“mboga na nyanya tunazolima ni bora kwa kuwa tunalima kitaalam hivyo kutuongezea kipato alisema Emmaculatha.

Amewaasa vijana kuiga mfano wao kwa kujiunga katika vikundi na kufika katika Manispaa ya Singida tayari kwa kupatiwa mafunzo ambayo ni endelevu na kuongeza kuwa kamwe hawatajutia uamuzi watakaoufanya.

Amesema kilimo hiki cha kisasa kinaweza kufanyika hata katika eneo dogo na matokeo makubwa yakaonekana kutokana na ubora wa mazao yatakayozalishwa hali ambayo inatofautisha mazao yanayolimwa kisasa na yale yanayolimwa kienyeji na hivyo kupata kipato kikubwa.

Akizungumzia soko la mazao ya mbogamboga na nyanya walizolima vijana hao, Msimamizi wa mafunzo na shamba darasa la mbogamboga kupitia kitalu nyumba Ndg. Simon Magige amesema, mboga na nyanya walizolima vijana hao zinajitofautisha na zilizopo sokoni kutokana na ubora wake.

Amesema lengo la mafunzo ni kuwawezesha kuzalisha bidhaa yenye ubora na ndilo lengo kuu la Serikali la kuwa na bidhaa sokoni zenye ubora kwa mlaji/ mtumiaji.

“Sasa hivi soko limejaa nyanya na mbogamboga lakini wachuuzi wamekuwa wakimiminika kununua mboga na nyanya zilizolimwa na vijana hawa kwa kuwa ni nzuri na zina ubora wa hali ya juu” alisisitiza Magige

Magige ameendelea kusema tangu kumalizika kwa mafunzo jumla ya Vijana 21 wameweza kuanzisha bustani za kisasa za nyanya na mbogamboga na kati ya hao vijana 6 wako katika kikundi na Vijana 15 ni mmoja mmoja

Kwa sasa Vijana hao wameanza kuvuna nyanya ambazo wanatarajia kuvuna kiasi cha tani 7 za nyanya. 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.