• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MEYA MANISPAA ATOA TAHADHARI UKUSANYAJI WA MAPATO NA HALI YA CHAKULA

Posted on: March 4th, 2025



Wakati akihitimisha Mkutano wa Pili wa Baraza la Madiwani la Robo ya Pili, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Mhe. Yagi Kiaratu, amesisitiza umuhimu wa kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ili kufikia malengo yaliyowekwa kwenye bajeti.


Akizungumza katika mkutano uliofanyika leo, Machi 4, 2025 katika Ukumbi wa Maktaba ya Mwenge Sekondari, Manispaa ya Singida, Mhe. Yagi alisisitiza kwamba lengo la ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 100 linapaswa kutekelezwa ili kufikia malengo yaliyowekwa katika bajeti ya mwaka huu.


Alieleza kuwa hali ya ukusanyaji wa mapato imekuwa ikizorota kwa baadhi ya maeneo, lakini aliwahimiza wataalam kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha kuwa malengo ya asilimia 100 yanatimia.


"Tumezoea kukusanya mapato kwa asilimia 100 na sio asilimia 80, na hili ni lengo letu kuu kama tulivyokubaliana kwenye bajeti yetu. Tunapaswa kuongeza juhudi katika kipindi kilichobaki ili kufikia malengo haya. Kama mnavyojua, mapato ndiyo moyo wa Halmashauri yetu," alisema Mhe. Yagi.


Mhe. Yagi alitoa wito kwa wananchi kutunza chakula kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayoweza kuathiri akiba yao.


Alisema kuwa jua kali linaloendelea kushuhudiwa linaweza kuathiri mazao na hivyo, aliwataka wananchi kuwa waangalifu na kuhakikisha wanatunza chakula cha kutosha kwa matumizi ya baadaye.


"Hali ya hewa imebadilika na inatishia. Naomba wananchi wa Manispaa hii, hasa wale wenye akiba ya chakula, wawe waangalifu na wasiichezee chakula. Inapotokea hali ya jua kali, inaweza kuathiri akiba ya chakula waliyonayo.


"Ni vyema chakula hicho kiwekwe vizuri na kutunzwa ili kiweze kuwasaidia wakati wa uhaba," alisisitiza Mhe. Yagi.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.