• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AONGOZA KIKAO CHA ELIMU KUHUSU MFUMO WA STAKABADHI GHALA

Posted on: August 14th, 2024



Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, ameongoza kikao kazi kilicholenga kutoa elimu juu ya mfumo wa Stakabadhi Ghalani ulioboreshwa.Kikao hicho kilifanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) na kushirikisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Maafisa Ugani, na Watendaji wa Kata kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Wilaya ya Singida.


Katika kikao hicho, Mhe. Gondwe alitoa maelekezo kwa maafisa ushirika kuhakikisha kuwa wakulima wanapata fedha zao kwa wakati, minada inafanyika kwa wakati, na vyama vya ushirika vinatoa huduma bora kwa wakulima. Aliagiza kuwa wakulima walipwe ndani ya saa 48, wanunuzi wasajiliwe ipasavyo, orodha za maghala na waendesha maghala ziwe wazi, na vituo vya ukusanyaji viongezwe.


Afisa Ushirika wa Mkoa wa Singida, Joseph Dachi, alieleza kwa kina kuhusu mfumo wa Stakabadhi Ghalani na jinsi ulivyoimarishwa. Mhe. Gondwe alisisitiza kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inathamini wakulima wake, na mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za kuboresha hali ya maisha ya wakulima kwa kutoa msaada wa kitaalamu na kuhakikisha kuwa wanapata faida bora kutoka kwa mazao yao.


Mhe. Gondwe aliongeza kuwa mfumo huu utasaidia wakulima kuuza mazao yao kwa bei nzuri, tofauti na mfumo wa awali, na utakuwa rafiki kwa mkulima. Alisisitiza umuhimu wa elimu hii kwa watumishi ili waweze kutoa msaada bora kwa wakulima kuhusu mfumo huu mpya.


Afisa Ushirika, Dachi, alikiri kwamba mfumo huu utaongeza fursa kwa wakulima, utawasaidia kuuza mazao yao kwa bei nzuri, na kuboresha ufanisi katika sekta ya kilimo. Alifafanua kuwa mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za serikali kuhakikisha wakulima wanapata huduma bora na faida kutokana na shughuli zao za kilimo, hasa kwa mazao ya dengu, mbaazi, na choroko katika Wilaya ya Singida.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.