• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Viongozi wa Mkoa wa Singida Watembelea Mabanda ya Maonesho ya Nane Nane Dodoma

Posted on: August 4th, 2024

Viongozi wa Mkoa wa Singida Watembelea Mabanda ya Maonesho ya Nane Nane Dodoma


Viongozi wakuu wa Mkoa wa Singida wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Halima Dendego, na Katibu Tawala wa Mkoa, Dkt. Fatuma Mganga, leo wamefanya ziara ya kutembelea mabanda mbalimbali katika Maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma. Ziara hii inafanyika siku ya nne tangu maonesho hayo yazinduliwe rasmi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.


Wakiwa katika mabanda hayo, viongozi hao walijionea shughuli mbalimbali za kilimo, ufugaji, na teknolojia zinazotolewa na wakulima, wafugaji, na wajasiriamali kutoka mikoa tofauti. Maonesho haya, ambayo hufanyika kila mwaka, yanatoa fursa kwa washiriki kuonyesha bidhaa na huduma zao, na pia kujifunza teknolojia mpya za kilimo ambazo zinatarajiwa kuongeza tija katika sekta ya kilimo nchini.


Mkuu wa Mkoa, Halima Dendego, alieleza kuridhishwa na maandalizi ya mwaka huu na kusisitiza umuhimu wa maonesho haya katika kuchochea maendeleo ya kilimo na ufugaji. “Maonesho ya Nane Nane ni jukwaa muhimu kwa wakulima wetu kujifunza mbinu za kisasa za uzalishaji, na pia kuwapa fursa ya kuonyesha bidhaa zao. Tunawapongeza wote waliojitokeza na tunawahimiza wananchi kushiriki kwa wingi ili kufaidika na elimu inayotolewa hapa,” alisema Dendego.


Kwa upande wake, Katibu Tawala wa Mkoa, Dkt. Fatuma Mganga, aliongeza kuwa ushiriki wa mkoa wa Singida katika maonesho haya ni muhimu sana, kwani unatoa nafasi ya kuimarisha sekta ya kilimo ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa huo.


Maonesho ya Nane Nane, ambayo mwaka huu yanafanyika chini ya kaulimbiu ya “Chagua viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo endelevu ya Mifugo na Uvuvi "

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.