• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SINGIDA LAFANYA MAPITIO YA BAJETI YA MWAKA 2021/2022 KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA

Posted on: January 26th, 2022

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA SINGIDA LAFANYA MAPITIO YA BAJETI YA MWAKA 2021/2022 KWA KIPINDI CHA MIEZI 6

Halmashauri ya Manispaa ya Singida katika kipindi cha miezi sita iliyopita imeweza kutumika kiasi cha Tshs. 1,518,664,777.54 sawa na asilimia 28.5 ya fedha za miradi ya maendeleo kati ya Tshs. 2,038875016.53 zilizokusanya na zilizotolewa na serikali kuu ambazo ni sawa na asilimia 74 ya fedha zilizopokelewa katika kipindi cha Julai- Desemba 2021

Hayo yaliezwa na Mchumi wa Manispaa ya Singida Ndg. Deus Luziga katika kikao cha Baraza la madiwani cha Kupitia utekelezaji wa bajeti 2021 kwa kipindi cha miezi 6 kabla ya kujadili mapendekezo ya bajeti ya Mwaka ujao 2022/2023.

Mchumi wa Manispaa alifafanua kuwa kwa Mwaka 2021/2022 Halmashauri ya Manispaa ya Singida iliidhinishiwa kiasi cha fedha Tshs. 7,152,886,722.00 za miradi ya maendeleo  ikiwa 5,625,032,189 ni kutoka Serikali kuu na 1,527,854,533.00 ni kutoka makusanyo ya ndani

Aidha mtsahiki Meya wa Manispaa ya Singida Mhe. Yagi Kiaratu amewataka madiwani na wataalamu kusimamia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa hususani miradi ya Maendeleo kwa kuzingatia ubora na thamani halisi ya fedha ili kufikia malengo kusudiwa.

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Ndg. Zefrin Lubuva amehimiza ushirikiano kwa madiwani na wataalam ili kuiwezesha Halmashauri ya Manispaa kufikia malengo yake katika kuleta Maendeleo.

“Ninaomba tuendeee kushirikiana katika Nyanja mbalimbali hasa katika suala ziama la ukusanyaji mapato na usimamizi katika miradi ya Maendeleo ili tuweze kufikia malengo tulio kusudiwa” alisisitiza Mkurugenzi.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Kiaratu akifungua kikao cha Baraza la Madiwani kujadili utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2021/2022 kwa kipindi cha miezi 6 ( Julai- Desemba 2022). Kilia kwake ni  Naibu Meya Hassan Mkata na Kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida  Ndg. Zefrin Lubuva.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.