• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KATIBU NEC, CCM AUPONGEZA MKOA WA SINGIDA KWA USIMAMIZI BORA WA UJENZI WA SOKO LA VITUNGUU

Posted on: January 19th, 2026

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi, amepongeza uongozi wa Mkoa wa Singida kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa Soko la Kimataifa la Vitunguu, mradi mkubwa wa kimkakati unaotarajiwa kuleta mageuzi ya kiuchumi katika mkoa huo.


Kihongosi ametoa pongezi hizo, leo Januari 19, 2025 alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo linalogharimu Sh bilioni 3.9, unaotekelezwa chini ya mradi wa TACTIC na kusimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Singida chini ya Mkurugenzi wake, Bi Joanfaith Kataraia.


Amesema mradi huo ni matokeo ya dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa wazo la ujenzi wa soko hilo lilianza kujadiliwa zaidi ya miaka sita iliyopita, lakini utekelezaji wake umeanza rasmi katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia.


“Kwanza nianze kwa kumpongeza Rais wetu, Dkt Samia Suluhu Hassan. Mradi huu ulianza kuzungumzwa miaka sita iliyopita, lakini ni katika uongozi wake ndipo fedha zimeanza kutolewa na utekelezaji kuanza,” amesema Kihongosi.


Aidha, ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Singida wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mhe. Halima Dendego, pamoja na Mkuu wa Wilaya, Godwin Gondwe, Mkurugenzi wa Manispaa na wataalamu wake kwa usimamizi mzuri wa mradi huo.


“Niwapongeze kwa dhati kwa kazi nzuri. Chama kinaridhishwa na kasi na ubora wa utekelezaji wa mradi huu. Tunachokisisitiza ni kazi ifanyike kwa viwango, kwa ubora unaotakiwa na ikamilike kwa wakati bila kuongeza muda,” amesema.


Kihongosi amesema kukamilika kwa soko hilo kutaufanya Mkoa wa Singida kuwa kitovu muhimu cha biashara ya vitunguu nchini na ukanda wa kati, sambamba na kutoa fursa za ajira kwa wananchi na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Manispaa ya Singida na wilaya jirani.


Ameeleza kuwa soko hilo la kisasa litabadilisha taswira ya Manispaa ya Singida na kuwa mfano wa kuigwa katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati nchini.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KATIBU NEC, CCM AUPONGEZA MKOA WA SINGIDA KWA USIMAMIZI BORA WA UJENZI WA SOKO LA VITUNGUU

    January 19, 2026
  • MADARASA MAWILI YA GPE TSP YAKAMILIKA

    January 16, 2026
  • RC DENDEGO ATAKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 100

    January 15, 2026
  • DC GONDWE AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI WILAYA YA SINGIDA

    January 13, 2026
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.