• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC SINGIDA APIGA MARUFUKU KUBANDIKA MABANGO YA WAGANGA WA TIBA ASILIA

Posted on: August 17th, 2017

MKUU wa Wilaya ya Singida,Eliasi Tarimo amepiga marufuku matangazo yote yanayotolewa na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na waganga wa tiba asilia na kuuagiza uongozi wa Manispaa ya Singida kuanza kuyaondoa mabango hayo mara moja.Akitoa agizo hilo kwenye mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo,Mkuu wa wilaya huyo alifafanuaa kwamba kumekuwepo mazoea kwa waganga wa tiba mbadala kujitangaza kuwa wametoka katika mikoa ya Tanga,Sumbawanga na kwenye maeneo yanayojulikana kuwa ni maarufu kwa unyeti wake,kuwa wanatoa tiba za magonjwa mbali mbali kwa kuyatumia mabango ya matangazo.“Nimepiga marufuku mbao za matangazo za waganga wa kienyeji nendeni mkayang’oe Manispaa,nendeni mkang’oe mabango yote yanayotangaza biashara ya uganga wa kienyeji kwa sababu hawa wengi wao ni matapeli”alisisitiza Mkuu wa wilaya huyo.Hata hivyo Tarimo alitumia fursa hiyo kuwaasa wakazi wa Manispaa ya Singida kuachana na tabia hizo za kupenda kutumia matibabu ya jadi kutokana na kupitwa na wakati na kwamba katika karne ya 21 ni aibu kwa wananchi kuamini mambo ya uchawi.Kwa mujibu wa Tarimo ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzzi na usalama wa wilaya ya Singida imani hizo bado zipo kwa wananchi wengi wa mjini Singida,na waganga hao wapo hapa mjini na wanajitangaza na hivyo kuanzia sasa naagiza kuwa mabango hayo yavunjwevunjwe.Mkuu wa wilaya huyo hata hivyo alisisitiza kwamba idadi kubwa ya waganga hao hawajasajiliwa popote pale kutokana na kuingia na kuanza kujitangaza huku wakiendelea kutoa huduma hizo ambazzo hata hivyo alionyesha kutoziamini huduma zinazotolewa na waganga hao wa mjini Singida.   Aidha Mwenyekiti huyo wa kamati ya ulinzi na usalama aliwaomba wakazi wa Mji huo kutoa ushirikiano wa kuwabaini wahalifu wote wanaojihusisha kufanya biashara ya ngono ambao zoezi la kuwakamata baadhi ya wasichana wanaojihusisha na biashara hiyo kutoka katika sehemu mbali mbali pamoja na biashara ya madawa ya kulevya.Katika hatua nyingine baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalamikia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kutenga asilimia ishirini ya mapato yake kwa ajili ya kupeleka katika kata zao pamoja na kuelekeza shutuma zao kwa afisa mazingira wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kusimamia manyasi yaliyopandwa kwenye mzunguko wa barabara iendeyo ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kuchangia kukauka,

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.