• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

eGA WATOA MAFUNZO KWA WAKUU WA IDARA/VITENGO WA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: March 21st, 2025

Mamlaka ya serikali mtandao (eGA) ikishirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Singida imetoa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao na mifumo kwa wakuu wa divisheni na vitengo.


Mafunzo hayo yametolewa leo 21 Machi, 2025 na mkufunzi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bi,Khadija Mzinza, ambaye amesema mafunzo hayo yanahusisha huduma mbalimbali zotolewazo na serikali mtandao pamoja na kujenga uelewa wa sharia ya mitandao ya mwaka 2019.


Amesema lengo la mafunzo hayo ni kuhakikisha wajumbe wa timu ya menejimenti wanapata uelewa wa kina juu ya matumizi sahihi ya huduma zitolewazo na serikali mtandao.


Mzinza amesema ni matarajio ya Serikai Mtandao kwamba, baada ya mafunzo hayo watumishi wa manispaa ya Singida wataweza kutumia mifumo mbalimbali katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ili kuweza kuhudumia wananchi.


Nae mwanasheria wa Mamlaka ya serikali Mtandao, Watson Kimbe pamoja na mambo mengine aliweza kuainisha vifungu mbalimbali vya sheria zinazotoa muongozo wa utoaji huduma lakini pia makossa mbalimbali ya kimtandao ambayo watumishi wa serikali yawapasa kuepuka.


Mkuu wa kitengo cha TEHAMA Manispaa ya Singida Fadhili Mshamu amesema mafunzo hayo yatakwenda kusaidia kupunguza au kuondoa kabisa matumizi yasihi sahihi ya mitandao na kurahisisha kazi ya utoaji huduma kwa wananchi.


Akizungumzia changamoto, Mshamu amesema mifumo haina changamoto ila watumiaji wa mifumo hiyo hufanya makossa kwa kutokujua, kutokana na uelewa mdogo matumizi ya mifumo.


Mafunzo hayo yamejumuisha Mifumo shirikishi ambayo ni pamoja na GMS, e-Office, e-mrejesho, e-vibali pamoja na e-signature pamoja na baadhi ya vifungu vya sharia ya mitandao yam waka 2019.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.