• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

.KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YA MANISPAA YA SINGIDA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 7th, 2024



Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Manispaa ya Singida leo, Novemba 7, 2024 imekagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa maelekezo kwa Menejimenti ya Halmashauri kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa ubora na viwango vya juu.


Kamati hiyo, inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Mhe. Yagi Kiaratu, ilifanya ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo na kutoa msisitizo kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa miradi kwa ufanisi na kwa wakati.


Meya Kiaratu alisisitiza kwamba miradi hiyo lazima ikamilike kwa ubora wa juu ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.


Miradi iliyokaguliwa na Kamati ya Fedha na Utawala ni pamoja na ujenzi wa madarasa sita na matundu nane ya vyoo katika Shule ya Sekondari ya Mandewa, ambayo imekamilika. Kamati pia ilitembelea na kukagua ujenzi wa Shule ya mpya Sekondari ya Mwaja, inayojengwa katika Kata ya Mandewa, ilikagua miundombinu ya kidato cha tano na sita katika Sekondari ya Mufumbu ikiwa katika hatua ya umaliziaji kwa upande wa madarasa na mabweni yakiwa katika hatua za awali.


Pia, Kamati ilikagua ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Sekondari ya Kindai, ambapo ujenzi huo umekamilika. Ujenzi wa madarasa matatu na matundu sita ya vyoo unaendelea katika Shule ya Msingi ya Kimpungua, huku Kamati ikiangalia pia eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Minga, inayotarajiwa kujengwa katika Kata ya Unyambwa.


Akizungumza baada ya ukaguzi, Meya Kiaratu alisisitiza kwamba Serikali inatoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, na hivyo, ni muhimu kwa miradi hii kusimamiwa na kujengwa kwa ubora wa juu ili wananchi wapate huduma bora. Alisema,


"Tuna jukumu la kuhakikisha miradi yote inaendelea vizuri na kwa kiwango cha juu, ili kumaliza changamoto za huduma bora za elimu katika Manispaa yetu."

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.