• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UKATILI WA KIJINSI UNAZUILIKA

Posted on: December 10th, 2023

Kilele cha Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Mkoa wa Singida zimehitimishwa rasmi leo, Desemba 10,2023.


Katika kuhitimisha kampeni hiyo ya siku 16, Katibu Tawala Mkoa Msaidizi wa Singida, Stephen Pancras amesisitiza kuwa jamii, Taasisi za umma na binafsi zichukue hatua na kuongeza ulinzi kwa wanawake na watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia kwani ukatili wa kijinsia unazuilika.


Kampeni ya kilele cha ukatili wa kijinsia kwa mwaka huu, ilikuwa na kauli mbiu ambayo ilikuwa ni 'Ni Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia' ambapo ilifanywa kwa siku 16 kabla ya leo kuhitimishwa.


Kiongozi huyo alisema kuwa utafiti ambao umefanyika mwaka 2022 katika Mkoa wa Singida wanawake wenye umri kuanzia miaka 15-49 wamefanyiwa ukatili wa kimwili na kingono au kihisia na wenza wao ni asilimia 45.


Aidha kiongozi huyo alisema kuwa wanasingida kama mkoa wanatakiwa kuwa na kujenga nguvu moja katika kupinga ukatili na mkoa unahitaji kuwekeza katika juhudi mbalimbali za kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto, wanawake walemavu na makundi maalum kwani wamekuwa wakipata madhara kama magonjwa, kuacha shule na kukwamisha shughuli mbalimbali za uchumi.


Aidha alisema Mkoa wa Singida unahitaji kuwekeza nguvu katika kupinga na kukomesha ukatili kwa watoto na wanawake sababu umekuwa na madhara makubwa.

Hata hivyo, serikali imekuja na mpango kazi wa kutokumeza na kupiga ukatili wa kijinsia kufikia mwaka 2028 kwa asilimia 50 kwa kushirikia na Jeshi la Polisi, SUMAUTAJA, vyombo vya habari pamoja na wadau wa maendeleo.

Mkoa wa Singida umeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia katika Halmashuri zake saba kwa kutoa elimu mashuleni, mikutano ya hadhara na maeneo mbalimbali kama sokoni vituo vya bodaboda na ni kuhakikisha ukatili wa kijinsi unatokomezwa.


Kiongozi huyo alisema mpaka sasa changamoto kubwa imekuwa utekelezaji wa sheria ya ukatili wa kijinsia, kwani ushirikiano umekuwa ni mdogo kutoka kwa jamii hususan baada ya kufunguliwa kesi, usiri wa kuficha maovu hasa kwa upande wa familia na pia wanaume wamekuwa na mwamko mdogo katika utoaji wa taarifa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.