• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU 248 WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA SIS

Posted on: January 9th, 2026

KAIMU Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida ambaye pia ni Afisa Elimu Sekondari, Mwalimu Hemed Athuman Mnyusi, amefungua mafunzo ya siku mbili ya matumizi ya mfumo wa School Information System (SIS) kwa shule za Sekondari na Msingi zipatazo 248 za serikali na binafsi.

Mafunzo hayo yameanza leo Januari 9, 2026 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Mwenge, Manispaa ya Singida, yakihusisha Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu pamoja na wataalamu wa mifumo ya TEHAMA kutoka mashuleni.

Mpango wa matumizi ya mfumo wa SIS unasimamiwa na Ofisi ya Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ukiwa na lengo la kuboresha usimamizi na uendeshaji wa shughuli za elimu nchini.

Mpango huo ulianza kutekelezwa rasmi mwaka 2023, ambapo walimu na watendaji mbalimbali wa elimu walipatiwa mafunzo ya awali ili kuwaandaa kwa matumizi ya mfumo huo wa kidijitali.

Kupitia mfumo wa SIS, shule zinatarajiwa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kupunguza matumizi ya karatasi pamoja na kuboresha upatikanaji wa taarifa kwa haraka na kwa wakati, ikilinganishwa na mifumo ya awali ya uendeshaji wa shughuli za shule.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WALIMU 248 WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA SIS

    January 09, 2026
  • MIRADI YA MAENDELEO YAKAGULIWA, MAAGIZO YATOLEWA

    January 07, 2026
  • MANISPAA YA SINGIDA TAYARI KUWAPOKEA WANAFUNZI 4,844 WA KIDATO CHA KWANZA

    January 06, 2026
  • KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA

    December 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.