• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WASAIDI MANISPAA YA SINGIDA WAPIGWA MSASA

Posted on: August 4th, 2025







  • Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wametakiwa kufuata katiba na utaratibu ili uchaguzi ufanyike kwa haki na weledi wa hali ya juu.

    Hayo ameyasema leo, Agosti 4, 2025 nq Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Singida Mjini , Bw.Aminiel Mfinanga wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya Kata katika Manispaa ya Singida.

    “ Najua mafunzo haya yatawaweka vizuri kuwakumbusha utaratibu wa uchaguzi , ili uchaguzi uwe mzuri lazima mtende haki kwa washiriki wa vyama vyote,”Mfinanga

    Katika hatua nyingine amesema kuwa uchaguzi ni mchakato unaojumuisha hatua na taratibu za katiba na sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa, amewataka kuondoa malalamiko na vurugu wakati wote wa uchaguzi.

    Aidha kwa upande wa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Utemini Mkoani Singida, Ferdinandi Njau amewashauri wanaopata mafunzo kufuata sheria.

    “Katika mambo ya kuzingatia walichoapa wanakizingatia ili uchaguzi uwe huru na haki,” Njau

    Lakini pia Afisa uchaguzi jimbo la Singida Mjini, Beno Magessa amesema namna semina hiyo itawasaidia kuwakumbusha maswala ya uchaguzi ambapo kutakuwa na mada 11 zitakazo jadiliwa.

    “ Jumla ya mada 11 zitajadiliwa kwa siku tatu tunategemea baada ya hapa watakuwa wameelewa na tunategemea uchaguzi utakuwa wa haki na huru,”BENO

    Kwa upande wa wasimamizi Wasaidizi nao wamesema kuwa mafunzo hayo yatawanufisha katika kutenda haki.


    1w










Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WATUMISHI MANISPAA WAPEWA ELIMU JUU YA BIMA YA MAISHA YA SANLAM

    August 14, 2025
  • AFISA ELIMU ATAKA UFAULU WA ASILIMIA 100 A- LEVEL MANISPAA YA SINGIDA

    August 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATINGA TATU BORA NANENANE KITAIFA 2025

    August 08, 2025
  • RAIS SAMIA AZINDUA MAABARA YA KILIMO KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE 2025

    August 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.