• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI WA AJIRA MPYA WAASWA KUTOA HUDUMA BORA NA STAHIKI KWA WANANCHI

Posted on: March 18th, 2025


Watumishi wa ajira mpya wa kada mbalimbali katika Manispaa ya Singida wameaswa kutoa huduma bora na stahiki kwa wananchi ili kutimiza lengo la serikali la kuhakikisha wananchi wake wanafikiwa na kupatiwa huduma bora.


Wito huo umetolewa leo Machi 18, 2025 na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, wakati akifungua semina ya siku moja kwa waajiriwa wapya wa kada mbalimbali katika Manispaa ya Singida, semina iliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Mwenge.


Kiaratu amewataka kila mmoja kwenda kutekeleza wajibu wake katika eneo lake la kazi kama ambavyo serikali ilivyo mwamini na kumpatia nafasi hiyo baada ya kupitia mchakato mrefu wa kuwatathmini na hatimaye kuaminiwa nakupewa nafasi walizo nazo sasa.


“ kama wewe ni mhudumu wa afya katimize wajibu wako katika kile ulichoaminiwa nacho…. Watendaji wa kata na mitaa ninyi ndiyo mna watu mkatoe huduma kusudiwa kwa wananchi ambayo serikali inatarajia kutoka kwenu…. Maafisa maendeleo ya jamii tunawategemea sana, ninyi ndiyo wahamasishaji, wasimamizi na watu mnaoshughulika na jamii kwa sehemu kubwa, mkawajibike……” amesisitiza Kiaratu.


Akifafanua juu ya mada zitakazo tolewa Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Rasilimali watu , Edward Mboya amesema, watumishi hao ambao idadi yao ni Zaidi ya watu 95 wa kata za Utawala, Maendeleo ya Jamii na Afya watapatapatiwa elimu juu ya Ajira, stahiki na maslahi yao, lakini pia maadili ya watumishi wa umma na kupitishwa katika mwongozo wa mavazi wa watumishi wa umma.


Mboya amefafanua kuwa watumishi hao , vile vile watapata elimu juu ya umuhimu wa kujiunga na vyama vya wafanyakazi vinavyotetea maslahi ya watumishi kwa ujumla.


Katika kipindi cha miaka 4 Manispaa ya Singida imepokea jumla ya watumishi wa ajira mpya 238 wakiwemo watumishi wa kada za afya, elimu, madereva, watunza kumbukumbu, uhandisi, maendeleo ya jamii , mawasiliano ya umma na Utawala ambao ni watendaji wa kata na mitaa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.