• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

AFISA MIFUGO WA MANISPAA YA SINGIDA AELEZA UMUHIMU WA UFUGAJI BORA

Posted on: August 5th, 2024


Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma, yamekuwa fursa adhimu kwa wakulima na wafugaji kupata maarifa mapya na kubadilishana uzoefu. Miongoni mwa washiriki wa maonesho haya ni Halmashauri ya Manispaa ya Singida, ambapo Afisa Mifugo wake, Hagai Zakaria, ameonekana akiwapa elimu ya kina wageni waliotembelea banda lao.


Zakaria, akiwa kwenye Banda la Mifugo la Halmashauri ya Manispaa ya Singida, alitoa maelezo kuhusu aina ya ng'ombe waliopo katika banda hilo. Aliwafahamisha wakulima na wafugaji kuhusu sifa za ng'ombe hao, akisisitiza umuhimu wa ufugaji bora na wenye tija kwa lengo la kuongeza uzalishaji na kipato.


“Ng'ombe hawa ni wa aina bora, wana uwezo wa kutoa maziwa mengi na wanakua haraka, jambo linalofanya waweze kukidhi mahitaji ya soko la ndani na la nje,” alisema Zakaria huku akionyesha mifano ya mbinu za kisasa za ufugaji. Aliendelea kueleza jinsi ya kuboresha afya ya mifugo, ikiwemo chanjo na lishe bora, ili kuzuia magonjwa na kuongeza uzalishaji.


Afisa huyo pia alitumia nafasi hiyo kuhamasisha wakulima kuzingatia ushauri wa maafisa ugani na kutumia teknolojia za kisasa katika ufugaji. “Ufugaji wa kisasa ni njia bora ya kujihakikishia kipato cha uhakika na cha kudumu. Tunawashauri wafugaji wawe na nidhamu ya kufuata ushauri wa kitaalamu ili kuweza kuleta mabadiliko chanya katika uzalishaji wao,” aliongeza.


Banda la Halmashauri ya Manispaa ya Singida limeendelea kuvutia lwatu wengi kutokana na elimu wanayopata kuhusu mbinu bora za ufugaji na mifugo ya kisasa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KONGOLE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    May 31, 2025
  • Meya atoa onyo kwa wasiotunza mazingira Manispaa ya Singida

    May 31, 2025
  • MKURUGENZI WA MANISPAA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MKOA WA SINGIDA

    May 30, 2025
  • WANANCHI 35 WAFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO SINGIDA

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.